Ni kozi zipi vyuo vikuu ambazo wasichana hupendelea kusomea?

Ni kozi zipi vyuo vikuu ambazo wasichana hupendelea kusomea?

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
wana jf naomba mnijuze koz ambazo wasichana hupendelea huko vyuoni manake kuna koz ukitaj watu wanakwambia n iya mabint
 
Ha ha ha ha nimeanza kufuatilia post zako mkuu ha ha ha ha natamani sana TCU watupange pamoja nadhani kila nikikuona nitakua nacheka sana na hilo jina ndo hataree
 
Chukua hizo hizo za Mabinti wanazokwambia halafu ukafanye ushololo kama ujarudi kwenu ............
 
...Law,Sociology,PSPA,Journalism...and haswaa Education..uko ndo wamejaa hatari
 
endeleen kuchangia tu wapinzan huwa hawakosekani!
 
wana jf naomba mnijuze koz ambazo wasichana hupendelea huko vyuoni manake kuna koz ukitaj watu wanakwambia n iya mabint

No wonder inasemwa viwango vya mijadala JF vimeshuka. Wewe unachagua kozi kwa kuwa unaipenda na kuimudu au kwa ushabiki watu wanasema nini kuhusu hiyo kozi?
Unanikumbusha enzi za utoto Sekondari, tulipoingia F 3, asilimia 90 walipapatikia mkondo wa Sayansi na kufeli vibaya.
Kwanza, chagua kozi unayoiweza, pili unayoipenda, tatu yenye soko.
 
Kaka ibrah saf sana kwa ushaur wako mim nilikuwa nataka dukuduku lenu juu ya baadh ya koz kama law,sociology,pspa
 
Duuu kumbe kuna kozi za madem!! hebu bhandugu tudondosheeni ukweli kuhusu hili
 
Law, Sociology, Education, Mass Communication, Journalism, Beacom, Banking, Issue za Medical, Accounting, BBA
 
mademu weng ni ishu za pesa kwa xana we huoni ma teller wengi ni wanawake..!! Afu swali lingine hv hawa ma teller wanaume ilikuaje kheri ni kawe mwanajesh kuliko teller WHY USHIKE PESA ZA WANAUME WENZAKO
 
Eeh, kaazi kweli kweli!, ngoja tuone kama Mabankteller wanaume waliopo humu JF watathubutu kukujibu, maana ulivyowashusha, eeh!
mademu weng ni ishu za pesa kwa xana we huoni ma teller wengi ni wanawake..!! Afu swali lingine hv hawa ma teller wanaume ilikuaje kheri ni kawe mwanajesh kuliko teller WHY USHIKE PESA ZA WANAUME WENZAKO
 
HomerCrazy.gif
 
Wengi wanapenda course za kujiuza na u-sister du, sema vyuo vyetu havina hizo course.
 
Hasa hasa Accounts na Law. Kwenye vyuo vya Maimuna wanapendelea Secretarial ingawa hakuna kitu kama secretarial.
 
Back
Top Bottom