Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana.. hizo ni lugha ... Utasikia sana kwa Wakatoliki wakitumia Kristu kwakuwa lugha ya rasmi ya kanisa katoliki ni kilatiniKwa uelewa wangu
Kristu, hii ni kwa Roma
Kristo, hii kwa madhehebu mengine
Majibu yako kwenye biblia mkuu.Ukikuta pahala kwenye biblia wameandika KRISTU,ujue hiyo biblia ni fakeHabari ya wakati huu
Naomba kuuliza maana hiki kitu kinanichanganya sana. Sijui kichwa changu ndio kigumu.
~Ni Yesu Kristu au Yesu kristo
~Je dini ni Mkristu au Mkristo
Naombeni majibu tafadhali
.....................AHSANTENI...................
Zote kilatini na Kigiriki ni lugha za kanisa....Kwa namna ya kipekee Kilatini kimepewa kipaumbeleMbona nimemsikia padre mmoja radio tumaini anasema Yesu kristo.
CCM ina deni kubwa kwa kuangamiza Elimu ya WatanzaniaMajibu yako kwenye biblia mkuu.Ukikuta pahala kwenye biblia wameandika KRISTU,ujue hiyo biblia ni fake
Lugha za Kanisa tena[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] lugha ya wagiriki wapagani wa nyota 5 unakuwa ya Kanisa mbona una sound kama watoto wa Mudi na slogan yao kuwa kiarabu ni lugha Ya AllahZote kilatini na Kigiriki ni lugha za kanisa....Kwa namna ya kipekee Kilatini kimepewa kipaumbele
Kuna uhusiano gani kati ya lugha na upagani?Lugha za Kanisa tena[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] lugha ya wagiriki wapagani wa nyota 5 unakuwa ya Kanisa mbona una sound kama watoto wa Mudi na slogan yao kuwa kiarabu ni lugha Ya Allah
Lugha hazijatumika kufasiri dini ila dini zimekuta lugha zina exist zikajimilikisha..Mudi na slogan yao kuwa kiarabu ni lugha Ya Allah
Kwahiyo Kanisa ikajichagulia lugha ikawa ya kwaoLugha hazijatumika kufasiri dini ila dini zimekuta lugha zina exist zikajimilikisha..
wewe ni mtu mzima tumia akili
Kuna sababu kadha wa kadha zimetumika.. Moja ni kuwa lugha za kilatini na kigiriki ni kongwe na zina misamiati mingi.. Hivyo ili kuhifadhi mafundisho ya kanisa yasije yakabalishwa au kupotoshwa maana halisi lugha kongwe hizi lazima zitume..Kwahiyo Kanisa ikajichagulia lugha ikawa ya kwao