Ni Kuhusu Chit Chat!

Ni Kuhusu Chit Chat!

Coco

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
430
Reaction score
1,577
Mbona hainivutii?

Mbona sihisi kufurahishwa na topics za jukwaa hili?

Nilidhani pengine umri manake ni kama mawazo ya waleta mada hapa yamekaa kitoto toto sana!?

Lakini,. mbona wapo members hapa, kwa viashiria fulani fulani huonekana wakubwa sana kwangu kiumri?

Kila siku nipatapo muda najaribu kupita hapa, lakini bahati mbaya sana ni vile members wa jukwaa hili (Jinsia zote) hamnivutii.

Screenshot_2019-09-03 Add Text to a JPG Picture - Online JPG Tools.png

🙁
 
Mabaharia na Mamaharia wa chit chat tumuunge mkono huyu baharia kwa kutochangia huu uzi wake.
Hata hii comment ntaifuta soon. Cha kufanya like hii comment kisha usepe.

THREAD CLOSED.
 
Mabaharia na Mamaharia wa chit chat tumuunge mkono huyu baharia kwa kutochangia huu uzi wake.
Hata hii comment ntaifuta soon. Cha kufanya like hii comment kisha usepe.

THREAD CLOSED.
This is why nasema "hamnivutii".
 
Kuna majukwaa rundo humu ndani, nenda panakokuvutia.

Lakini pia unaweza kuanzisha hizo mada za kikubwa unazotaka bila kulialia.
Hata kama nitaanzisha mada, sina hakika kama michango na hoja zenu zinavutia kuendelea kujadiri nanyi.
 
Kujadiri??

Hivi hata la saba umefika kweli?

zeshchriss

Unamanisha nini hapo kwa red? Level ya elimu ama ni eneo huitwa hivyo, napaswa kufika??

BTW, najifunza kiswahili Boss, take it easy.

Screenshot_2019-09-03 mjadara - Google Search.png

Ahsante, sasa nimejuwa.

"Mjadala"
 
Lakini huu uzi wewe ni mdau mzuri sana,na uko chit chat

Hongera! Pamoja na kwamba kuna contents yangu ktk Uzi huo, hai-justify kuvutiwa na nyuzi zenu hapa ChitChat.
Ni kama vile Uzi huu (Content yangu) ndani ya ChitChat Forum. "Sivutiwi na ChitChat".
 
Hongera! Pamoja na kwamba kuna contents yangu ktk Uzi huo, hai-justify kuvutiwa na nyuzi zenu hapa ChitChat.
Ni kama vile Uzi huu (Content yangu) ndani ya ChitChat Forum. "Sivutiwi na ChitChat".
Dhumuni la kuanzisha uzi ni lipi?
 
Dhumuni la kuanzisha uzi ni lipi?
Alert kwa ChitChat members, jukwaa halivutii (Mtizamo wangu) pengine mnaweza kuboresha, kurejesha mvuto ktk jukwaa hili.
 
Alert kwa ChitChat members, jukwaa halivutii (Mtizamo wangu) pengine mnaweza kuboresha, kurejesha mvuto ktk jukwaa hili.
Kwanini hao members waboreshe kwa ajili yako?
 
Back
Top Bottom