Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wako pia wengine wenye mtizamo kama huu kuhusu jukwaa hili, Who knows?
This is how we talk openly.
[emoji1787][emoji1787]
Wapi unatoa hii? Am not trying to control You guys, just saying "sivutiwi" na jukwaa lenu, sababu nimeorodhesha juu.
Kuhusu uhuru, NO!Hiyo ya kutovutiwa nao ndio kunyima uhuru wa kutalk openly...huwezi kuvutiwa na kila kitu humu,waache waendelee kuenjoy na huo utoto wao unaodai wanao
Tayari umeshawasilisha mawazo yako,enjoy huko majukwaa mengine
Achana nayo 🤷🙅Mbona hainivutii?
Mbona sihisi kufurahishwa na topics za jukwaa hili?
Nilidhani pengine umri manake ni kama mawazo ya waleta mada hapa yamekaa kitoto toto sana!?
Lakini,. mbona wapo members hapa, kwa viashiria fulani fulani huonekana wakubwa sana kwangu kiumri?
Kila siku nipatapo muda najaribu kupita hapa, lakini bahati mbaya sana ni vile members wa jukwaa hili (Jinsia zote) hamnivutii.
View attachment 1197005
🙁
Then Go to hellThis is another why sivutiwi na ChitChat.