Ni Kuhusu Chit Chat!

Ni Kuhusu Chit Chat!

Labda wako pia wengine wenye mtizamo kama huu kuhusu jukwaa hili, Who knows?
This is how we talk openly.

Yeah!JF we talk openly...na hiyo ndiyo sababu kubwa ya wewe kuacha kila member atumie jukwaa anavyoweza
 
Kuna jukwaa la siasa
Biashara
Intelli Nini sijui

Nenda huko yatakuvutia mkuu
 
Yeah!JF we talk openly...na hiyo ndiyo sababu kubwa ya wewe kuacha kila member atumie jukwaa anavyoweza
Wapi unatoa hii? Am not trying to control You guys, just saying "sivutiwi" na jukwaa lenu, sababu nimeorodhesha juu.
 
Wapi unatoa hii? Am not trying to control You guys, just saying "sivutiwi" na jukwaa lenu, sababu nimeorodhesha juu.

Hiyo ya kutovutiwa nao ndio kunyima uhuru wa kutalk openly...huwezi kuvutiwa na kila kitu humu,waache waendelee kuenjoy na huo utoto wao unaodai wanao

Tayari umeshawasilisha mawazo yako,enjoy huko majukwaa mengine
 
Kuhusu uhuru, NO!

It doesn't make sense.
 
Michango yenu kuipitia inatosha sana
 
Mbona hainivutii?

Mbona sihisi kufurahishwa na topics za jukwaa hili?

Nilidhani pengine umri manake ni kama mawazo ya waleta mada hapa yamekaa kitoto toto sana!?

Lakini,. mbona wapo members hapa, kwa viashiria fulani fulani huonekana wakubwa sana kwangu kiumri?

Kila siku nipatapo muda najaribu kupita hapa, lakini bahati mbaya sana ni vile members wa jukwaa hili (Jinsia zote) hamnivutii.

View attachment 1197005

🙁
Achana nayo 🤷🙅
Kama haikuvutii kwanini kulifuatilia

Au mada nayo ni chitchat
 
Back
Top Bottom