Ni kuhusu Nabii Suguye mmiliki wa WRM TV!

Ni kuhusu Nabii Suguye mmiliki wa WRM TV!

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
4,977
Reaction score
6,635
Kuna mtu hapa anaabudu kanisani kwa huyu Nabii Suguye?
 
No UOTE="Powder, post: 18896142, member: 347655"]Kuna mtu hapa anaabudu kanisani kwa huyu Nabii Suguye?[/QUOTE]
Ni tapeli flan hivi..
 
Huyo Nicholas Suguye aliwahi kuwa mlinzi kwenye kampuni ya Gray security, sasa inaitwa G4S! Mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili!
 
Swali lilikuwa; "Kuna mtu hapa anaabudu kanisani kwa huyu Nabii Suguye?", hayo majibu kuwa, aliwahi kuwa korokoroni, anapata hela na wanawake, sio jibu, ndo maana mitihani mnafeli !!! Mimi naabudu Kanisa la WRM. Kwa taarifa Mungu huwainua waliojikwaa. Mimi nilijikwaa lakini nimeinuliwa. Nabii Suguye kainuliwa. Wanaoamini, wanafaidi matunda yake. Wasioamini ...kalaga baho... Tazama youtube "Rehema" uone utendaji wa Nabii Suguye ndo u-comment!
 
Back
Top Bottom