Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora zaidi.
Lakini cha ajabu hawataki Watanzania wengine wawe na Uhuru na Demokrasia. Sasa ni kweli watu wa hivi wanapenda nchi au wanajali maslahi yao tu. Wale watu ambao wanajali nchi bila kuweka maslahi binafsi ndiyo wazalendo wa kweli sio machawa au hawa ambao wanatetea vitu vya kuwasaidia wenyewe tu.
Sasa kwa wale ambao hamtaki Katiba mpya wala Demokrasia je mnazuia na kupinga kwa maslahi ya naini hasa.
Soma Pia: Bila katiba mpya nzuri, wawekezaji watatukimbia!