Ni Kumbukumbu tu jamani kutokana na CORONA hii, hivyo tusinuniane tafadhali!

Ni Kumbukumbu tu jamani kutokana na CORONA hii, hivyo tusinuniane tafadhali!

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Kwa mujibu wa CAF, Yanga ya Tanzania inashikilia rekodi ya kufungwa mabao mengi zaidi katika msimu mmoja wa michuano ya klabu Bingwa Afrika hatua ya Makundi.

Msimu huo ulikuwa ni mwaka 1998, Yanga ilifungwa mabao 19 katika mechi 6 za Makundi, ikipoteza dhidi ya Asec Mimosa ya Ovprt Coast, Manning ya Afrika Kusini na Raja Casablanca ya Morocco.

Chanzo: salehjembefacts
 
Back
Top Bottom