Ni kwa Mara ya kwanza

Ni kwa Mara ya kwanza

kitoromondo

Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
64
Reaction score
75
Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga na jukwaa hili makini tafadhali nipokeeni nami nijifunze kwenu
 
Mzoefu kusoma kilicho andikwa humu na hawa wadau makini km wewe lkn kutoa mada au kushare chochote humu bado
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Karibu sana jukwaani bwana Kelvini.!
Sie tupo huku tangu 2011
 
Asanteni wadau makini tupashane habari tujuzane mambo ambayo yataijenga jamii ya kitanzania
 
mimki nimeona kaweka avatar matata tayari...nikajiuliza huyu mpya kweli?
Ujiunge jana na kuweza kuanzisha mada? hapana mimi nilijiunga 2014 lakini nimekuja kuweza kutumia Oct 2016 na kila siku nilikuwa naingia humu lakini nilikuwa sielewi watu wanafanyaje na kujiunga kwangu hata ukiniuliza leo sielewi nilijiungaje. Kifupi huyu ni mzoefu sema ana tuchora kiana
 
Back
Top Bottom