jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Dah! Siasa siyo uadui ndugu, halafu amini nakwambia mahali popote penye monopoly huwa hakuna maendeleo. Hizo Bomberdier sijui flyover umpata kwa sababu ya upinzani. Ngoja uone sasa radha ya bunge la chama kimoja.Bora ife, natamani sana kuona ikifa. Wafuasi wa chadema ni watu wenye dharau sana
Nakuangalia tu unavyo kata mauno, wakati bado haujaingizwa hata chumbani...Bora ife, natamani sana kuona ikifa. Wafuasi wa chadema ni watu wenye dharau sana
Najiuliza sana na sipati jibu hivi kwa pigo hilo itakuwaje CHADEMA bila ruzuku itabaki moja tena!
Ni kwa namna ipi itapata pesa za kulipa mishahara watendaji wake wa ngazi mbalimbali?
Je, kama CHADEMA ilikuwa ikitegemea pesa ya ruzuku kuendesha mambo mengi/yake sasa itakuwaje?
Jiulize kabla ya 2005 ilikuwaje moja?Najiuliza sana na sipati jibu hivi kwa pigo hilo itakuwaje CHADEMA bila ruzuku itabaki moja tena!
Ni kwa namna ipi itapata pesa za kulipa mishahara watendaji wake wa ngazi mbalimbali?
Je, kama CHADEMA ilikuwa ikitegemea pesa ya ruzuku kuendesha mambo mengi/yake sasa itakuwaje?
Chadema haifi, na wapinzani wa ccm ba serikali tutaendelea kuwepo hata msajiri akiifuta Chadema.Bora ife, natamani sana kuona ikifa. Wafuasi wa chadema ni watu wenye dharau sana
Bora ife, natamani sana kuona ikifa. Wafuasi wa chadema ni watu wenye dharau sana
Bila shaka ww bi shoga mnduku kunuka weweBora ife, natamani sana kuona ikifa. Wafuasi wa chadema ni watu wenye dharau sana
Chadema hii ife, tukirudi hata sasa kwenye kura tunachìnja zaidiNadhani ikifa kila mtanzania atapata Noah yake. Furaha yako itatimia mleta mada
Dah! Siasa siyo uadui ndugu, halafu amini nakwambia mahali popote penye monopoly huwa hakuna maendeleo. Hizo Bomberdier sijui flyover umpata kwa sababu ya upinzani. Ngoja uone sasa radha ya bunge la chama kimoja.
Una uwezo mdogo sana wa kufikiria..
Hujajua nini maana vyama vya upinzani, hujui nini maana yachangamoto..
Bila ya challenge naamin hata ww usinge kuwa hapo.. Kwa maana ulijitahd kusoma sana ili wenzako wasikupite..
Imagine kama darasan ungekuwa peke yako, hayo yote ungeweza.. ??
Beberu Amsterdam atawaletea pesa!Najiuliza sana na sipati jibu hivi kwa pigo hilo itakuwaje CHADEMA bila ruzuku itabaki moja tena!
Ni kwa namna ipi itapata pesa za kulipa mishahara watendaji wake wa ngazi mbalimbali?
Je, kama CHADEMA ilikuwa ikitegemea pesa ya ruzuku kuendesha mambo mengi/yake sasa itakuwaje?
Mkuu wote sisi ni chama kimoja lakn umewai kujiuliza kwa nn watoto wetu wanasoma bure hata kama tunasomesha sisi privet school lakn sio kwamba ndugu zetu wote wanauwezo au tushangilia 7000 zetuMbowe ndio mnufaikaji mkuu wa ruzuku ya Chama huwenda ataathirika kw kiasi flani.