Ni kwa namna gani Mimba itapatikana hapa?

Himidini mbona unasema ndio maana mimba hazitungwi wakati mmoja?

^^
Apolinary
Katika maajab ya uumbaji wa Mungu, moja ni hilo, wanawake wanatofautiana siku za kuingia mwezini hivyo hata yai linapokomaa lifikie urutubishaji ndipo mimba hutungwa tofauti, kuepuka binadam kuwa na tabia za aina moja.
Bado sioni ajabu mwanamke kupata mimba wakati ambao mwanaume hutegemei
^^
 
Last edited by a moderator:
Sawa nsubiria
lakini ungetoa view zako katika suala hili la Uzazi

usijali mkuu ndio nasoma soma then nitakupa mchango wangu ila mwakani wakati kama huu utakuwa na mwanao anacheza hapo ndani, utafurahi sana na kumtukuza Bwana
 
Kiranga namuona kule kwenye jukwa la Intelijensia, Mara hupinga pakini conclusion husema kuwa Mungu yupo
kwako Himidini

^^
Tunatofautiana imani, na ikiwa yeye au wewe huamini Mungu, hainizuii mimi kuamini wala hainipi haki ya kulazimisha wengine waamini niaminivyo.
^^
 
Last edited by a moderator:
usijali mkuu ndio nasoma soma then nitakupa mchango wangu ila mwakani wakati kama huu utakuwa na mwanao anacheza hapo ndani, utafurahi sana na kumtukuza Bwana

Faraja iliyoje?
 
^^
Tunatofautiana imani, na ikiwa yeye au wewe huamini Mungu, hainizuii mimi kuamini wala hainipi haki ya kulazimisha wengine waamini niaminivyo.
^^

Himidini back to the topic
Nini Ushauri wako ktk hilo
 
Last edited by a moderator:
usijali mkuu ndio nasoma soma then nitakupa mchango wangu ila mwakani wakati kama huu utakuwa na mwanao anacheza hapo ndani, utafurahi sana na kumtukuza Bwana

Sawa mkuu ila ningekua na amani zaidi kama ukija na yote kwa ujumla kama siku za kushika mimba kutokana na mlingano uliopo hapo juu.
Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…