Ni kwa namna gani na ushaidi upi siasa za Zanzibar zimekia zikiamriwa bara?

Ni kwa namna gani na ushaidi upi siasa za Zanzibar zimekia zikiamriwa bara?

josefredy

Member
Joined
Oct 24, 2019
Posts
7
Reaction score
2
Kuna tetesi na pia kuna mambo mengi yanayoonyesha kua siasa za Zanzibar zimekua zikiamriwa dodoma na dar es salaam toka 1972 specifically after the death of karume.
Tujulishane ishu ya rais Aboud Jumbe, uchaguzi mkuu zanzibar 2000 na 2015 na mambo mengine mengi kuthibitisha tetesi hizo
IMG_20200426_092253.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom