Ni kwa namna gani Vodacom walikua wanapata faida toka kwenye VPL?

Ni kwa namna gani Vodacom walikua wanapata faida toka kwenye VPL?

Bad cj

New Member
Joined
Dec 26, 2020
Posts
1
Reaction score
2
Habari za saizi wanajamvi,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwa jinsi gani Vodacom wanapata au walkua wanapata faida toka kwenye vpl?
 
kujitangaza nayo ni faida mojawapo
 
Kujitangaza
Kama ilivyo matangazo redioni, kwenye TV, magazetini, mabango nk
 
Kwa kweli Wallace Karia amefanya kazi kubwa ya kuwashawishi Vodacom kuidhamini ligi
 
hawana wanachopata, Zaidi ya kuwa ni dili lawatu kupiga pesa tu
 
Kiuhalisia faida haipo.sema tu ni kama kufanya social responsibility.

Kujitangaza kupitia redio na TV kuna effect kubwa kuliko kudhamini league yetu.
 
Back
Top Bottom