Ni kwa nini ccm wamefurahi zaidi Mbowe kuwa mwenyekiti kuliko Lissu?

Ni kwa nini ccm wamefurahi zaidi Mbowe kuwa mwenyekiti kuliko Lissu?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Nimeona mitandaoni na kwenye vyombo vya habari inaonekana ccm pamoja na serikali wana matumaini makubwa sana na Mbowe kuliko Lisu.

Wako tayari kumpigia kampeni Mbowe na kupiga kampeni dhidi ya Lisu.

Haya mahaba na Mbowe yanatoa picha gani!?
 
Hana uwezo wa kuthubutu, pia chama kinahitaji dira na utulivu wa kutosha

Collective leadership is a backbone of any organization
 
kwasababu he is part and parcel of the larger facade of democracy preached by CCM. He is a puppet/stooge wa CCM.
 
Mary's boy child, Jesus Christ, was born on Christmas Day
And man will live forevermore because of Christmas Day
1000017658.jpg
 
Siku kadhaa nyuma CCM walikuwa wanataka Mbowe aachie kiti. Labda hawakujua nani atawania hiyo nafasi.

I bet they expected someone weak, and boom Lissu is here.

Dadeki.
 
Ok, so ndio maana chama tawala hawataki mtu ambaye hajamaa kisiasa sindio mkuu?
 
Back
Top Bottom