The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Hana uwezo wa kuthubutu, pia chama kinahitaji dira na utulivu wa kutoshaNimeona mitandaoni na kwenye vyombo vya habari inaonekana ccm pamoja na serikali wana matumaini makubwa sana na Mbowe kuliko Lisu.
Wako tayari kumpigia kampeni Mbowe na kupiga kampeni dhidi ya Lisu.
Haya mahaba na Mbowe yanatoa picha gani!?
Yeye tu kugombea sina hakika kama ataukosa uenyekiti wakeMbowe bado anagombea, hajawa mwenyekiti
Mbowe ni wakala wa ccm, siasa za kistaarabu ni kukaa kimya wakati serikali kwa kushirikiana na chama tawala wana ua wanachama wako? Huo sio ustaarabu ni ujinga.Mbowe ana siasa za kistaarabu