Jamani nijuavyo mimi ni kwamba Shahada (Digrii) zinatunukuwa na Vyuo Vikuu pamoja na Vyuo Vishiriki vilivyo chini ya Vyuo Vikuu husika lakini nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini 'Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (Institute of Financial Management - IFM) imepewa mamlaka ya kutunuku Shahada za Uhasibu, Taxation, IT etc kwa wahitimu wake wakati siyo Chuo Kikuu?
IFM has all the rights to offer degrees under act number 9 of 1997. Read here NACTE Overview
The National Council for Technical Education (NACTE) is a body corporate established by the National Council for Technical Education Act, 1997. The Act provides a legal framework for the Council to establish an efficient National Qualifications System that will ensure that products from technical institutions are of high quality and respond to changing needs as well as technological innovations in the … [Read More...]
Mkuu, UCC sio chuo, ni centre tu ya kutoa some professional programmes. Highest award wanayotoa ni Diploma (ordinary).Afadhali na potelea mbali ni mtu na ndugu yake. Kama unahoji umahiri wa vyuo, nenda pale UCC halafu ujiulize tunataraji wahitimu wa namna gani ktk IT ikiwa wakufunzi ndio wale.
...
Alah! sasa kumbe wewe unataka tu kiitwe university? kutakuwa na maana gani kama kitaitwa university kama kitatoa watu ambao si competent? wanachoangalia kwenye utoaji wa elimu ni mtu kutoka akiwa competent na si uzito wa jina la chuo. Chuo kinaweza kuwa na jina kubwa lakini watu wanaomaliza kwenye chuo husika wakawa hawalingani na jina la chuo husikaSasa ni kwa nini iendelee kutambulika kama Taasisi (Institute) badala ya Chuo Kikuu?
Hatuwezi kukubali kuzalisha wasomi fake kama wewe, kama unajiandaa kujiunga na elimu ya juu na hata hujui kusoma dictionary nadhani una zaidi ya tatizo.Mungu akijalia mwakani naweza jiunga na chuo kikuu kama sio taasisi, naomba nieleweshwe tofauti iliyopo kati ya institute, university, school na college.
Wasalaam!
Huyu lazima atakuwa anaamini dawa ya meno ni colget peke yake na shoe shine ni kiwi peke yake.
Hatuwezi kukubali kuzalisha wasomi fake kama wewe, kama unajiandaa kujiunga na elimu ya juu na hata hujui kusoma dictionary nadhani una zaidi ya tatizo.
Jamani nijuavyo mimi ni kwamba Shahada (Digrii) zinatunukuwa na Vyuo Vikuu pamoja na Vyuo Vishiriki vilivyo chini ya Vyuo Vikuu husika lakini nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini 'Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (Institute of Financial Management - IFM) imepewa mamlaka ya kutunuku Shahada za Uhasibu, Taxation, IT etc kwa wahitimu wake wakati siyo Chuo Kikuu?
Kasome NACTE na TCU ujue vigezo vya chuo kuweza kutoa digrii. Utapata mengi sana huko.