Ni kwa nini IFM inatunuku shahada (Degree) wakati siyo Chuo Kikuu?

Ni kwa nini IFM inatunuku shahada (Degree) wakati siyo Chuo Kikuu?

California Institute of Technology,
Georgia Institute of Technology,
Colorado Institute of Technology,
Dar es Salaam Institute of Technology,
Durban Institute of Technology,
Hizo ni baadhi ya Taasisi zinazotoa Bachelor Degree, so make sure u do some research before
dah mtoa mada hana uthibitisho mpeni hahahahahaha!
 
ninavojua mm kitu kikitwa Tasisi (kkatika mfumo wa elimu) inakua na uwezo wa kutoa Bachelors,Masters,Dctorate,na nado maaana kuna Calfornia Instute of Technology massachusetts Instute of Technology.........,
Jamani nijuavyo mimi ni kwamba Shahada (Digrii) zinatunukuwa na Vyuo Vikuu pamoja na Vyuo Vishiriki vilivyo chini ya Vyuo Vikuu husika lakini nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini 'Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (Institute of Financial Management - IFM) imepewa mamlaka ya kutunuku Shahada za Uhasibu, Taxation, IT etc kwa wahitimu wake wakati siyo Chuo Kikuu?
 
We jamaa wa wapi mbona hujauliza kuhusu TIA, IAA, CBE, IRDP, CDTI, IPS n.k..,,, usikariri kwamba Degree inatolewa na Chuo Kikuu...,,, Serikali kupitia TCU iliruhusu Institute zote ambazo zilikuwa zinatoa Advanced Diploma zianze kutoa Degree kutokana na idadi ya wanafunzi kuwa wengi wakati Vyuo vilikuwa vichache...,,,,
 
[h=2]Introduction[/h] The Tanzania Commission for Universities (TCU) was established on 1st July 2005, under the Universities Act (Chapter 346 of the Laws of Tanzania) to succeed the former Higher Education Accreditation Council which had been in operation since 1995. It is a body corporate mandated to recognize, approve, register and accredit Universities operating in Tanzania, and local or foreign University level programs being offered by registered higher education institutions. TCU also coordinates the proper functioning of all university institutions in Tanzania so as to foster a harmonized higher education system in the country. In order to ensure that such a harmonious higher education system does not compromise institutional peculiarities and autonomy, each University has the legal right to operate under its own charter.
[h=2]The roles of TCU[/h] [h=2]Regulatory:[/h] Conducting periodic evaluation of universities, their systems and programs so as to oversee quality assurance systems at the universities and in the process leading to new institutions to be registered to operate in Tanzania, and the existing the institutions to be accredited, and validation of university qualifications attained from local and foreign institutions for use in Tanzania.
[h=2]Supportive:[/h] Ensuring the orderly performance of the Universities and the maintenance of the set quality standards, by providing support to universities in terms of coordinating the admission of students, offering training and other sensitization interventions in key areas like quality assurance, university leadership and management, fund raising and resources mobilization gender aspects in university management and gender mainstreaming, etc.
[h=2]Advisory:[/h] Advising government and the general public on matters related to the higher education system in Tanzania, including program and policy formulation on higher education, and the international issues pertaining to higher education. It is my expectation that TCU will receive your maximum support in implementing its mandate and make University education contribute to the development of the country in general

IFM haipo under TCU sasa jiongoze mwenyewe

Jamani nijuavyo mimi ni kwamba Shahada (Digrii) zinatunukuwa na Vyuo Vikuu pamoja na Vyuo Vishiriki vilivyo chini ya Vyuo Vikuu husika lakini nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini 'Taasisi ya Usimamizi wa Fedha (Institute of Financial Management - IFM) imepewa mamlaka ya kutunuku Shahada za Uhasibu, Taxation, IT etc kwa wahitimu wake wakati siyo Chuo Kikuu?

Introduction

The Tanzania Commission for Universities (TCU) was established on 1st July 2005, under the Universities Act (Chapter 346 of the Laws of Tanzania) to succeed the former Higher Education Accreditation Council which had been in operation since 1995. It is a body corporate mandated to recognize, approve, register and accredit Universities operating in Tanzania, and local or foreign University level programs being offered by registered higher education institutions. TCU also coordinates the proper functioning of all university institutions in Tanzania so as to foster a harmonized higher education system in the country. In order to ensure that such a harmonious higher education system does not compromise institutional peculiarities and autonomy, each University has the legal right to operate under its own charter.
The roles of TCU

Regulatory:

Conducting periodic evaluation of universities, their systems and programs so as to oversee quality assurance systems at the universities and in the process leading to new institutions to be registered to operate in Tanzania, and the existing the institutions to be accredited, and validation of university qualifications attained from local and foreign institutions for use in Tanzania.
Supportive:

Ensuring the orderly performance of the Universities and the maintenance of the set quality standards, by providing support to universities in terms of coordinating the admission of students, offering training and other sensitization interventions in key areas like quality assurance, university leadership and management, fund raising and resources mobilization gender aspects in university management and gender mainstreaming, etc.
Advisory:

Advising government and the general public on matters related to the higher education system in Tanzania, including program and policy formulation on higher education, and the international issues pertaining to higher education. It is my expectation that TCU will receive your maximum support in implementing its mandate and make University education contribute to the development of the country in general

IFM haipo under TCU sasa jiongoze mwenyewe

May be ana element za u-first year so mjuzeni kidogo ....na ka wivu kanachangia pia
 
ninachoelewa ni kwamba institute ni center ambayo imebobea to a specific field, to me institute is better than university c'se they have all kinds of expertise in a particular field.
Hint: Look at tia relationship with ministry of finance compared to ud, mz, tumaini etc, dit and bodi ya wahandisi [engineers] compared to ud,etc dar maritime institute ..
nimekuelewa ndugu hata mimi nilikuwa sifahamu kwasababu ya kutokufuatilia, ila umesema kitu ambacho ni kweli hata mimi ninaingia bachelor ya account tia na sina shaka na chuo maana najua ni chuo kikongwe na account hapo ndio nyumbani kwao
 
institute maanake ni taasii iliyospecilise katika kitu fulani na in hadhi ya kutoa shahada mfano dit ina deal na masuala ya teknolojia ifm ina deal na mambo ya fedha na vingine vingi,university ni taasisi ambayo inatoa shahada ya vitu mbalimbali ya haijaspecilize katika kitu kimoja mfano udsm,udom zinatoa sociology,education,maedicine,finance n.k wakubwa mpoo
Comp science,social protection,IT nazo zinasimamia fedha?
 
Nafikiri kuna kitu haujaelewa hv..!!! University ni composition ya several institutes and schools... Ambazo zinatoa shahada tofauti tofauti... Kwa mfano SUA pale kuna institute moja hv inaitwa Development studies istitute (DSI) yenyewe inatoa shahada za maendeleo.. So sio kitu chakushangaza kwa IFM kutoa degree..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ninachoelewa ni kwamba institute ni center ambayo imebobea to a specific field, to me institute is better than university c'se they have all kinds of expertise in a particular field.
hint: look at TIA relationship with ministry of finance compared to ud, mz, tumaini etc, DIT and bodi ya wahandisi [engineers] compared to ud,etc dar maritime institute ..

Kwahito unasemaje kuhusu Ardhi University (specialised in land/Ardhi),MUHAS (Specialised in human health), SUA (specialised in Agriculture) etc. Unamaana hizi ni Institutes siyo Vyuo vikuu au sijakuelewa vizuri mkuu? Mimi pia binafsi hili suala la Institute na University linanisumbua sana kulitofautisha maana naona ni kama kitu kimoja tu.Hebu nidadavulie kindani zaidi hili mkuu.
 
kudos mkuu! Watu hawajui hili
 
ITEGAMATWI, yuko 100% correct, MUHAS wako general! Ingekuwa ni utafiti tu wa afya tungeita institute (e.g. NIMR) au maabara tu. Au kama ni moyo tu (Heart Institute). MUHAS ni chuo kikuu cha afya na inapaswa kuwa na kila kitu kuhusu afya. Kuhusu SUA, wanatoa course za mashirika (MUCCOBS), kilimo, mifugo, ualimu, IT, uchumi n.k.
 
Last edited by a moderator:
TUMBIRI, nadhani ukiwa na elimu ya udaktari! Dr. Tumbiri na mwanafunzi bora Tanzania (Tanzania One) kwa sasa unajua tofauti vizuri sana. Karibu ufafanue Dr Tumbiri (phd)
 
Last edited by a moderator:
nimekuelewa ndugu hata mimi nilikuwa sifahamu kwasababu ya kutokufuatilia, ila umesema kitu ambacho ni kweli hata mimi ninaingia bachelor ya account tia na sina shaka na chuo maana najua ni chuo kikongwe na account hapo ndio nyumbani kwao

TIA is the second after IFM in the country. UDSM watasubiri sana
 
Ni sawa na mtu aliyepata div 1 na aliyepata division 3 katika necta ikatokea wamepangiwa chuo kimoja koz moja, huyu mwenye div 1 kama ni mtu wa wivu anaweza akajiuliza kwa nini huyu jamaa nimempita pakubwa then wote tumeangukia sehemu moja. Sasa hili ndilo tatzo alilokuwa nalo mtoa mada inawezekana kuna mwenzake amechaguliwa IFM naye amechaguliwa may be UDSM au Mzumbe hvo anapata wivu kwamba yeye yuko university na mwenzake yuko ktk institute ila mwisho wa siku wote wanapata degree, alitegemea huyu wa IFM apewe diploma ili yeye aonekane yupo juu zaidi. Na mbna ameitaja IFM tu wakati kuna IAA, DIT,MIT na vip kuhusu CBE.

humfahamu Tumbiri, ni mhitimu wa CPA na amemaliza phd yake London
 
Afadhali na potelea mbali ni mtu na ndugu yake. Kama unahoji umahiri wa vyuo, nenda pale UCC halafu ujiulize tunataraji wahitimu wa namna gani ktk IT ikiwa wakufunzi ndio wale.

Tukaage tukijivuna tu kuwa graduates lkn kama hamtasoma vitabu...degree ni makaratasi ambayo hata wewe unaweza tu ukjiandikia la kwako. Elimu yetu ni almost 0 na ndio maana kila siku hapa mnanung'unika oooh tiGO wanatuibia, mara ooh ITV mnaboa. Graduates are not competent! (kazi kujadili mishahara)

wewe ni GREAT thinker, haumo katika kundi fulani la ma Great SINKERS.
 
Back
Top Bottom