Ni kwa nini Lucky Dube aliuawa?

Ni kwa nini Lucky Dube aliuawa?

DZUDZUKU....tafuta nyimbo ya lucky dube inayoitwa OTHER SIDE alafu uisikilize ujumbe uliopo ktk huo wimbo..

Mkuu inaoenekana unaijua Vzr Histori ya LUKY mimi ni Shabiki wake hata alipokuja hapa DAR 90's ilinibidi kuingia DENI ili kupata PESA yakumuona LIVE pale PTA niliburudika sana! Unaweza kuniambia nyimbo alizotinga SENZO wakati yuko na DUBE manake mle watunzi walikuwa wengi akiwemo RICHARD SILUMA alietunga Remmember! na km ya zaidi unayajua kuhusu DUBE plz funguka2!
 
Kitu cha taxman. Daah jamaa alinifanya nikalia siku ya kifo chake.

Yaah! tax MAN na GUNS ROSE km cjakosea speling, hz Nyimbo wakati anakuja BONGO zilikuwa mpya km ckosei! Umaarufu una faida na Hasara zake kwakweli,,!
 
Mkuu inaoenekana unaijua Vzr Histori ya LUKY mimi ni Shabiki wake hata alipokuja hapa DAR 90's ilinibidi kuingia DENI ili kupata PESA yakumuona LIVE pale PTA niliburudika sana! Unaweza kuniambia nyimbo alizotinga SENZO wakati yuko na DUBE manake mle watunzi walikuwa wengi akiwemo RICHARD SILUMA alietunga Remmember! na km ya zaidi unayajua kuhusu DUBE plz funguka2!

Ni nyingi sana ametunga na Senzo unajua ipo hivi Senzo alikuwa ndo mtu tegemezi mkubwa ktk kundi la luckydube yeye ndo mtunzi,lucky dube ni nyimbo chache ametunga akiwa na Senzo ukumbuke kuwa nyimbo ya Prisoner idea ni ya Senzo alafu watu uwa wanachanganya jaman kuna nyimbo remember me ile nyimbo amemsemelea mpenzi wake aliyemkimbia,alafu kuna nyimbo inaitwa sorry my son hii nyimbo anamuelezea baba yake aliyemtelekeza watu wengi wanasema remember me anamuelezea baba yake kitu ambacho sio kweli
 
A! mkuu umenikumbusha WMBO wa MY SON AM SORRY dah! kwenye utungaji wa Nyimbo kuna kitu Tunaita TONE COLOUR kwenye huo WMBO dah! Nway endelea kufunguka kwa unayoyajua khs huyu Ndg R,I,P LUKY na SENZO,,,!
 
Senzo-Ngixolele nnaipiga masaa kadhaa sasa.

Hawa watu ni balaaa, life is a game but its not fair, what are the rules?

R. I. P both Lucky Dube and Senzo.
 
Ni nyingi sana ametunga na Senzo unajua ipo hivi Senzo alikuwa ndo mtu tegemezi mkubwa ktk kundi la luckydube yeye ndo mtunzi,lucky dube ni nyimbo chache ametunga akiwa na Senzo ukumbuke kuwa nyimbo ya Prisoner idea ni ya Senzo alafu watu uwa wanachanganya jaman kuna nyimbo remember me ile nyimbo amemsemelea mpenzi wake aliyemkimbia,alafu kuna nyimbo inaitwa sorry my son hii nyimbo anamuelezea baba yake aliyemtelekeza watu wengi wanasema remember me anamuelezea baba yake kitu ambacho sio kweli

Acha kuleta stori za vijiweni.lete source ya habari yako. Dube ni mtunzi wa nyimbo zote za The Slaves kundi lake.wimbo Remember Me ulitungwa na Richard Siluma na wala hauna uhusiano na stori ya Dube. usichukue stori za vijiweni kuhusu kifo chake.
 
Wewe nadhani ndio unamix mambo.

Wimbo wa Lucy Dube huo.

" I have got you baby, to make me feel alright" na jamaa anaanza kusema, i have gone around the world trying to find a woman, a woman that will understand me now i have found you........."

Ok, labda tunaongelea nyimbo mbili tofauti, wimbo ninaouzungumzia mimi unaitwa " i got you babe" nao walikopi na kupesti kutoka kwa couple moja ya marekani waliojiita Sonny and Cher ya 1965,na baadhi ya mistari yake inasema.......i got you to hold my hand, i got you to understand.....i got you to walk with me, i got you to talk with me....i got you to kiss goodnight, i got you to hold me tight....i got you i wont let go, i got you to love me so...

Wanaimba kwa kupokezana mtu mme na mtu mke......bonge moja la song mazee.
 
Acha kuleta stori za vijiweni.lete source ya habari yako. Dube ni mtunzi wa nyimbo zote za The Slaves kundi lake.wimbo Remember Me ulitungwa na Richard Siluma na wala hauna uhusiano na stori ya Dube. usichukue stori za vijiweni kuhusu kifo chake.

Mkuu mi sipo ktk kulumbana na sijasema unavyosema soma vizuri nilichoandika,wewe kama unafaham lolote khs luckydube elezea unavyojua sio kuleta kejeli unaweza kueleza unachokijua mi sijatoa stor vijiwen,isitoshe mi sio mpenz wa vijiwen
 
ok hujachukua stori mtaani.tupe source.
 
Ni nyingi sana ametunga na Senzo unajua ipo hivi Senzo alikuwa ndo mtu tegemezi mkubwa ktk kundi la luckydube yeye ndo mtunzi,lucky dube ni nyimbo chache ametunga akiwa na Senzo ukumbuke kuwa nyimbo ya Prisoner idea ni ya Senzo alafu watu uwa wanachanganya jaman kuna nyimbo remember me ile nyimbo amemsemelea mpenzi wake aliyemkimbia,alafu kuna nyimbo inaitwa sorry my son hii nyimbo anamuelezea baba yake aliyemtelekeza watu wengi wanasema remember me anamuelezea baba yake kitu ambacho sio kweli

Sasa mbona maneno ya Remember me haya relate na mpenzi au me kayumba sijui english hata chorus inataja baba aliko popote awakumbuke.
 
.................
Death
On 18 October 2007, Lucky Dube was killed in the Johannesburg suburb of Rosettenville shortly after dropping two of his seven children off at their uncle's house. Dube was driving his Chrysler 300C which the assailants were apparently after. Police reports suggest he was shot dead by carjackers. Five men have been arrested in connection with the murder. Three men were tried and found guilty on 31 March 2009; two of the men attempted to escape and were caught. The men were sentenced to life in prison.

Source: Lucky Dube - Wikipedia, the free encyclopedia

Pia hapa Why Lucky Dube was killed - South Africa | IOL News | IOL.co.za

Why Lucky Dube was killed
dube.jpg
In the dock: The three men accused of killing Lucky Dube, from left to right, Sifiso Mhlanga, Ludwe Gxowa and Mbuti Mabe appear at the Johannesburg High Court. Photo: Shayne Robinson, The Star

February 4 2009 at 05:35am

By Botho Molosankwe

About an hour after they pumped two bullets into Lucky Dube, the alleged killers returned to where the reggae superstar lay dead to see if any of the bystanders recognised them.

This was the chilling evidence of a state witness, who also revealed on Tuesday that the two men on trial for the murder didn't recognise him and thought he was a Nigerian.

State witness Mpho Maruping said her husband had confessed his involvement in Dube's botched hijacking and gave her details on what led to the multi-award-winning superstar's death.

As Dube's relatives sobbed, the woman told the Johannesburg High Court of the night Dube was shot as he dropped off his son and daughter in Rosettenville.

Maruping is the wife of Thabo Maruping. He was initially charged with Dube's murder but turned state witness.

She said her husband and three men on trial for murder, robbery, attempted robbery and illegal possession of firearms - S'fiso Mhlanga, Ludwe Gxowa and Mbuti Mabe - had been on the prowl, hunting for a Chrysler to hijack.

After their search proved fruitless, they parked their VW Polo and waited. Then a Chrysler drove up and stopped not far from them.

They pounced. Two shots were fired. Dube tried to drive off but he crashed his car into a tree and died on the spot.

Maruping said that on October 18, the day Dube was killed, she and Thabo were in Sandton at a timeshare meeting. Thabo kept receiving phone calls and later arranged to meet the three accused in the Joburg city centre.

The four men drove off in a Polo and she drove home in the couple's red bakkie.

Later, the four returned to the Maruping townhouse and Thabo asked for the keys to the bakkie.

When she asked him what he wanted them for, she realised that the Polo was damaged. Thabo's explanation was that a taxi had driven into them while they were at a filling station.

Maruping said her husband, Mhlanga, Gxowa and Mabe drove off in two cars - the couple's bakkie and an unidentified red vehicle - leaving the damaged VW at the townhouse complex.

Her husband called Mabe the night after the murder, asking him to return the bakkie. Mabe returned the vehicle, but Maruping had to take him home.

When she got back she expected to find her husband ready to go to the East Rand Mall. Instead he was glued to the TV.

The wife then asked him why he wasn't ready.

"He said Mabe had just called and told him to watch the previous night's (murder) incident on TV. I also sat and watched. They showed Lucky Dube singing, as well as a car that had collided with a tree," Maruping testified.

After the TV programme, Thabo told her how Dube was murdered.

Her husband told her that he and the three accused drove around Rosettenville, then stopped. A Chrysler C200 came into view and halted. Mhlanga and Gxowa got out of the Polo and approached it.

"Thabo said that while in the car (Polo) he heard a gunshot. Mabe told him to see what was going on. He went to the Chrysler and put his hands on the roof and looked inside.

"A second gunshot rang out as he went back to the VW. Mhlanga and Gxowa then returned and told him to drive off."

Maruping said she asked her husband why Dube was shot. "He said Mhlanga said he did not see that it was Dube and had thought he was a Nigerian.

"When I asked why he later returned (on the night of October 18) and wanted the bakkie, he said it was because they could not drive a car that had been involved in a collision.

"He also said they took the bakkie and returned to the scene to see whether anyone had seen them and also to see what was going on."

Earlier, David Mohlabai, a panelbeater from Springs, said that on October 20 he received a call from Mabe, who wanted him to repair his car's bodywork.

When they met, Mabe - who was driving a Polo - was with someone else, who was driving a bakkie.
 
Sasa mbona maneno ya Remember me haya relate na mpenzi au me kayumba sijui english hata chorus inataja baba aliko popote awakumbuke.

Hata mimi hapa nilikaa kimya maana maelezo yake na wimbo viko tofauti!
 
Mkuu Lussadam umemaliza sehemu ya maswali yangu. Hiyo ya Wikipedia nilishaisoma ila sikuiamini maana inasema 'police said'!! Hiyo yenye ushahidi inaeleza vizuri
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom