Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Marekani na nchi zingine za Magharibi kuna Uhuru mkubwa sana wa mtu kuweza kutumia akili zake, nguvu zake na uwezo wake alionao vizuri zaidi katika kujitafutia kipato halali. Mazingira yanaruhusu, Demokrasia husababisha kuwepo kwa Uhuru mpana zaidi wa watu kujiamulia mambo yao, huleta Uhuru wa fikra.Nimejaribu kupitia 'list' ya matajiri duniani, nikagundua wale ma-top wengi wanatoka Marekani.
Ukiangalia ata wasanii wao au wafanya biashara kutoka huko kwao wanamiliki ndege n.k
Sasa najiuliza, ni kitu gani kinacho wafanya wao kuwa na matajiri wengi.
Ni kwamba wana sera nzuri za kuwawezesha raia wao kuwa matajiri, au wanawakopesha, au kuna namna nyingine?
Njooni tujadili.
Jibu hili hapa.Nikwamba wana sera nzuri za kuwawezesha raia wao kuwa matajiri,