The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Sijajua nini nini kinaendelea katika taifa letu hususani kuhusu hali ya siasa za upinzani nchini.
Nilitegemea baada ya tukio lilotokea juzi basi hasira za umma zingewaka na kuitikia hituba ya Mbowe badala yake imepokelewa kikawaida sana
Hii ni kwa nini hasa!? Mbona ni kama tunakubali hao wanyang'anyi wa uhai watambe watakavyo!?