Ni kwa nini Uhuru Kenyatta na Paulo Kagame hawajamuiga Samia Suluhu ?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
nimemsoma member mmoja humu JF akisema movie ya mama Samia ya royal tour inaweza kuingiza mpaka 1.5 trillion kwa kukodishwa pekee kwenye mtandao wa amazon na bado kuna faida nyingine kama ongezeko la watalii nk

sasa kama movie iliyogharimu billion 7 inaweza kuingiza pesa mingi kiasi huko kwa nini hawa majirani zetu wa angalau Kenya & Rwanda wasifuate nyayo za mama kuigiza movie
 
Mimi nilidhani itakuwa kama tangazo la kuitangaza Tanzania, kumbe inauzwa? Mbona naona kama ni wrong move
 
Watanzania hawana akili una uhakika kagame hajafanya hiyo royal tour au ni story zenu za vijiwe vya kahawa
 
Mimi nilidhani itakuwa kama tangazo la kuitangaza Tanzania, kumbe inauzwa? Mbona naona kama ni wrong move
Mkuu hivi umepatwa na Nini?

Au Kuna mtu alikuwa anatumia hii ID kaamua kuigawa?
 
Kwanini mkuu? Umenichekesha sana ujue nikajiuliza kwanini King umewaza hivi?
Kuna vitu naona kama huwa vinahitaji verification ndogo sana online, na kwakuwa wewe ni mtu wa online hiwa nategemea usaidie kidogo kuuona ukweli. Lakini huwa nashangaa kuona unajaa mzima mzima.

Anyway, binafsi sidhani kama hiyo Ni Filamu. Ninavyoona Mimi hiyo Ni Documentary.

Sasa kwanini inauzwa, sijui.

Lakini naona kama huwa Ni utaratibu wao,maana hata ya Rwanda inauzwa.

Screenshot_2022-04-22-18-48-42-493_com.opera.mini.native.png
 
Kuna vitu naona kama huwa vinahitaji verification ndogo sana online, na kwakuwa wewe ni mtu wa online hiwa nategemea usaidie kidogo kuuona ukweli. Lakini huwa nashangaa kuona unajaa mzima mzima.

Anyway, binafsi sidhani kama hiyo Ni Filamu. Ninavyoona Mimi hiyo Ni Documentary.

Sasa kwanini inauzwa, sijui.

Lakini naona kama huwa Ni utaratibu wao,maana hata ya Rwanda inauzwa.

View attachment 2196684
Ndio maana nimetumia neno kumbe kumjibu,
Mkuu kuna vitu uwa ninaviverify hasa ambavyo vinanivutia sana na kuna vitu huwa ziverify. Hata haya mambo ya royal tour sijayafuatilia nayasikia juu kwa juu tu kwakuwa sijavutika kuyafuatilia mkuu.
Ila hata kama documentary mimi nadhani ingekuwa ya bure tu ili watu wengi watazame halafu malipo yaje kutokana na watakaovutiwa wakaamua kuja.
 
Back
Top Bottom