Mimi nilidhani itakuwa kama tangazo la kuitangaza Tanzania, kumbe inauzwa? Mbona naona kama ni wrong movenimemsoma member mmoja humu JF akisema movie ya mama Samia ya royal tour inaweza kuingiza mpaka 1.5 trillion kwa kukodishwa pekee kwenye mtandao wa amazon na bado kuna faida nyingine kama ongezeko la watalii nk
sasa kama movie iliyogharimu billion 7 inaweza kuingiza pesa mingi kiasi huko kwa nini hawa majirani zetu wa angalau Kenya & Rwanda wasifuate nyayo za mama kuigiza movie
Mkuu hivi umepatwa na Nini?Mimi nilidhani itakuwa kama tangazo la kuitangaza Tanzania, kumbe inauzwa? Mbona naona kama ni wrong move
Kwanini mkuu? Umenichekesha sana ujue nikajiuliza kwanini King umewaza hivi?Mkuu hivi umepatwa na Nini?
Au Kuna mtu alikuwa anatumia hii ID kaamua kuigawa?
Kuna vitu naona kama huwa vinahitaji verification ndogo sana online, na kwakuwa wewe ni mtu wa online hiwa nategemea usaidie kidogo kuuona ukweli. Lakini huwa nashangaa kuona unajaa mzima mzima.Kwanini mkuu? Umenichekesha sana ujue nikajiuliza kwanini King umewaza hivi?
Ndio maana nimetumia neno kumbe kumjibu,Kuna vitu naona kama huwa vinahitaji verification ndogo sana online, na kwakuwa wewe ni mtu wa online hiwa nategemea usaidie kidogo kuuona ukweli. Lakini huwa nashangaa kuona unajaa mzima mzima.
Anyway, binafsi sidhani kama hiyo Ni Filamu. Ninavyoona Mimi hiyo Ni Documentary.
Sasa kwanini inauzwa, sijui.
Lakini naona kama huwa Ni utaratibu wao,maana hata ya Rwanda inauzwa.
View attachment 2196684
Elimu ni tatizo kubwa Tanzania