Sawa najua Anna makinda sio kioo lakini nimetoa kama mfano ila nilishawaona wengi sana wa namna hiyo lakini nimeamua kutoa mfano kwa Makinda maana yeye anafahamika na wengi so nipe sababu sasa nazani umenielewa
kwasababu wanakua na hasira sana za why not me alafu zile hasira zinawageuza kua madume jike na hapo baadae kujiona kama wanaweza kufanya kila kitu alone na hua wanakua na nguvu sana ktk maamuzi yao na hawatetereki hata siku moja........tena wanaweza kua wababe zaidi ya wanaumeJamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
Mbona akina msekwa na Sitta walikua hawana huo ubabe (Kaa chini) au wenyewe walikua hawaongozwi na sheria za bunge?...kakojoe ulale.Anna Makinda anaongozwa na sheria za bunge mkuu, wala siyo ubabe!
Toa mfano mwingine tukusome vizuri
Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
Mbona akina msekwa na Sitta walikua hawana huo ubabe (Kaa chini) au wenyewe walikua hawaongozwi na sheria za bunge?...kakojoe ulale.
Anna Killango nayeye hajaolewa kwani?
Labda tuanze ku define ubabe; kwani kuongea kwa sauti (A. Killango) ni ubabe? Kuna watu hawaongei lakini wako very authoritative hata kwa kuwatizama tu...kwanza hawacheki.
They learn how to stand up for themselves. So ile missing link wana-create bridge ya ubabe.
Kwani Wanawake walioolewa hawana stress? Leo jumamosi waulize waume zao walirudi alfajiri ya saa ngapi. Hata Haki za ndoa zinatolewa kwa manati.StrESS ndio huwa zinafanya wa behave cz every one wishes to have a hubby, sasa umri unaposonga tena bila matumaini basi dah!
weeh, mla vya Watu na vyake huliwa. Mie naogopa.Njoo uchukue pipi! Nilihisi umetumia akili yangu kumbe yako tu!!!!! Umejib vizuri King'asti wangu!
hapo utakuwa umenena ila post # 8 ni big no; ulinyanyapaa wanawake wasioolewa ilihali ukijua fika kuwa kuolewa na hiari. Huyu mwanamke asiyeolewa akitoka na mumeo kwa kisingizio cha kuondoa stress utamwadhibu?
I respect all human beings, including my hubby for marrying a crazy person like me and at the same time I respect all unmarried women. Let them be.
Kwani Wanawake walioolewa hawana stress? Leo jumamosi waulize waume zao walirudi alfajiri ya saa ngapi. Hata Haki za ndoa zinatolewa kwa manati.
weeh, mla vya Watu na vyake huliwa. Mie naogopa.
Hujanipata vizuri...rudia post yangu. Nimesema hawana uhakika. Leo sawa atatoka na mume wa NK...akishtuka mwenye mume anaanza kukaba mpaka penati...anabaki alone anasubiri nani kazubaa ...kwa hiyo neno kubwa hapa ni uhakika.
Kuiba waume za watu hakumpi mtu uhakika wa kuwa nao kila wanapohitaji kutoa stress.
una maana kila mwanamke ambaye hajaolewa anatoka na mume wa mtu?
una maana kila mwanamke ambaye hajaolewa anatoka na mume wa mtu?
Hii ya mume wa mtu ni one option na ni jibu lililofaa post yako kwa kuwa umezungumzia kutembea na 'mumeo'
Mbali ya waume za watu kuna wanaotembea na serengeto boys na wengine dildo. Lol.
Ndio kama sio mme wa mtu basi atakua mme wa mtu mtarajiwa