MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
All in all, hali ya kupenda kuolewa ni kitu ambacho wanawake wanakuwa nayo tangu utotoni na inatawala sehemu kubwa ya maisha yao. Admit it or not, ni mwanamke gani ambaye kwenye utoto wake hakutamani kuvaa shera?
It's natural, personally as a boy I dont remember ever thinking about my wedding day but most girls do. Ukiongezea na mitizamo ya jamii juu ya umuhimu wa ndoa, ni rahisi sana kwa wanawake ambao hawajaolewa kuwa stressed kupita kiasi. Wanahisi kama kuna kitu muhimu hawana, ni sawa na mwanaume mtu mzima ambaye for some reasons can not support himself financially, lazima awe stressed.
Mama Makinda ni mfano tu, ila wako wengi tu huku mitaani. Nina aunts watatu, mmoja ameolewa na ni mjane, wawili hawajaolewa na wako bitter kweli kweli. Huyo mmoja japo amekuwa mjane for more than 12 yrs now she is still very sweet just as she as always been.