nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
utatuambia kuwa wanawake ambao hawajaolewa 'wanatembea' na waume za watu, serengeti boys na dildo.
Kama ni mume mtarajiwa, una uhakika gani kuwa yeye sio mke mtarajiwa.
Hapo umenipata vizuri...Nimesahau another option kuna walio lesbian, wanatembea na vibinti.
stereotypist
Au mwenzetu unajua wanatembea na nani? Au hawatembei? Lol.
if you are simple minded you will mind who these people see
If you yourself din't mind why did you bother to comment in this thread at first place?
prompted by people like you, stop the stereotype.
Hujafa hujaumbika, kesho kesho kutwa utakuwa mjane (God forbid) au mtalaka hivyo utakuwa katika category ya wasioolewa.
Najua nyuzi kama hizi kuna watu zinawahusu direct na wana take it personal. Ila mi siogopagi kusema ukweli.
Ukisoma hii threa bila jazba mdau ameongelea wale ambao hawajawahi kuolewa maishani; si wajane wala walioachika. Fact kuwa mtu alishawahi kuolewa inamtoa kwenye huu uzi kwani huyo tayari ni wifey materal...tatizo wale ambao hawajawahi kugusa kitu kinachoitwa ndoa
Wajane wengi wanaolewa tena not to say divorcees kwani wako soft hearted na wana sifa za mwanamke.
ndio stereotype yenyewe. Stop it.
a very nice answer..you are a great thimker.........Wanaume tunaoa wanawake wenye tabia zakike na sio za kiume
Hizi ni akili za vilaza wanaoamini kuwa mwanamke hajakamilika mpaka awe na mume, Bikira Maria mbona alikuwa single na katika wanawake waliokuwa bora ulimwenguni. Hii fikira za kuweka kuwa mwanamke lazima amilikiwe zitoeni, mambo yamebadilika, wanawake wa siku hizi hawataki kuolewa for the sake of it. Hakuna ulazima wa ndoa kama hakuna mwenye uelekeo.
Hayo maamuzi ya kibabe ni kuwa wanakuwa na akili ya kukomaa, bila uoga, huhitaji mwanaume wa kushauri full independent sasa atake mwanaume wa nini, aongeze pasua kichwa zaidi.
bikra maria alikuwa na mchumba wewe hata baada ya kuzaliwa kwe JESUS maisha yandoa yake yaliendelea na akazaa watoto kwa kupata mimb ya mwanaume. mwanamke ulitoka ubavuni mwa mwanaume bila mwanaume ur nothng madame na kama MUNGU angependa uishi single angekuumba mwanaume wala asingeweka tumbo la uzazi kwako na kuvuja damu kila mwezi fikiria tho u in pathetic dada
Mwanamke yeyote wa heshima lazima awe na mume..ukiona mwanamke hajaolewa ujue ana tatizo na hilo analihamishia kwenye jamii anakua shida kweli kweli
kama wewe unaifahamu historia ya bikra maria umeisaidia vipi jamii,BIKRA MARIA kaacha hstoria dunian vizaz na vzaz vinatambua uwepo wake wewe unaejifanansha nae nin utaacha ni certficate madam.jitahdi uhame ukoo dadaYou proove my doubt right kama vilaza bado wako wengi, maana hata historia ya Bikra Maria huijui