Ni kwa nini Yanga wanamchukia sana Okwi? Okwi mzee ni Mbaya zaidi kuliko Okwi kijana.

Ni kwa nini Yanga wanamchukia sana Okwi? Okwi mzee ni Mbaya zaidi kuliko Okwi kijana.

Mwana Mtoka Pabaya huoni kuwa unamdhalilisha mama yako? unaposema wewe umetoka pabaya? yaani kwake ni kubaya? why ? amekukosea nini mama yako amelkulea miezi 9 tumboni na umekua leo hata unajua kutumia nawewe smartphone na hata computer bado unaona umetokea sehemu mbaya? kwa nini ndugu yangu? kwa nini mchukie hivyo mama yako?
Umeshatoka kwa Okwi umerukia kwa mamaangu. Mnawashwa nini nyinyi wafanyakazi wa wahindi? Mpira unapigwa uwanjani, punguzeni 'domo'
 
Katika miaka sita ya okwi kuichezea simba, amenyanyua ndoo Mara moja tu ,so what nyinyi mapumbumbu
 
Vuka mto (kachukua ubingwa) ndiyo uongee lolote unalotaka. Mwaka wa nne huu hizi kelele zimekuwa very common.
Hata hivyo najua common sense miongoni mwa baadhi ya mashabiki wa matopeni siyo common kabisa.
Wenye akili zao wametulia kabisa maana wanajua its not done until its done!
 
Back
Top Bottom