Mwana Mtoka Pabaya huoni kuwa unamdhalilisha mama yako? unaposema wewe umetoka pabaya? yaani kwake ni kubaya? why ? amekukosea nini mama yako amelkulea miezi 9 tumboni na umekua leo hata unajua kutumia nawewe smartphone na hata computer bado unaona umetokea sehemu mbaya? kwa nini ndugu yangu? kwa nini mchukie hivyo mama yako?