Ni kwa wale tuliopitia haya maisha tu

Ni kwa wale tuliopitia haya maisha tu

King Tembo

Senior Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
124
Reaction score
68
Hii Ni kwa wale ambao tumepitia haya maisha tu tujikumbushe kidogo


NB: Wale wenzetu Wa majiko ya umeme mtuache kidogo
05f4c43a55be0fa458dba491655a550b.jpg
 
Nilikuwa nikipuliza moto lazima nizime kibatari... Ilikuwa zaidi ya hatari
 
Daah Maisha haya...!!

Hivi kweli hii nchi ilikuwa na Raisi..?
 
Hakuna hata kibatari unatumia kijinga kumulikia njia ni balaa
 
Dhaaaaaaaa aiseeee haya maisha
Yaaah Chen tu watu tunatoka

Mbali jmn
Nakumbuka nkikua nashindia
Mbaaz nalalia mbaaz

Wazaz na waheshimiwe jmn
 
Back
Top Bottom