King Tembo
Senior Member
- Aug 29, 2017
- 127
- 73
Hii Ni kwa wale ambao tumepitia haya maisha tu tujikumbushe kidogo
NB: Wale wenzetu Wa majiko ya umeme mtuache kidogo
NB: Wale wenzetu Wa majiko ya umeme mtuache kidogo
Huku kibatari kikiwa juu ya figa mojaAah mkuu acha tu..nimepuliza jiko sana na kuchochea moto uwake...kijijini enzi hizoo
acha tu..na ule moshi basi tu yaaniHuku kibatari kikiwa juu ya figa moja