Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Awali nilimpongeza Sana Katibu WA CCM alivyopiga marufuku kubeti.
Contrary; nimesikitika kusikia kubeti IPO kwenye ilani ya chama cha mapinduzi.
Je, ni kweli ilani hiyo inatengeneza wataalamu WA kubeti au ni propaganda? Kama ilani inasimamia kubeti, je Katibu Mkuu kukemea nikupingana na ilani ya chama chake?