Ni kwamba watu wamechoka kuomba au imani yao ni ndogo kulinganisha na wanaoitwa manabii/ mitume?

Ni kwamba watu wamechoka kuomba au imani yao ni ndogo kulinganisha na wanaoitwa manabii/ mitume?

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Jamani, siku za leo kuna watu wengi sana wanaamini manabii pengine kuliko hata wanavyojiamini wao wenyewe.

Baadhi hawafanyi maamuzi hadi waombe ushauri kwa hao wanaowaamini.

Kwa upande wangu maswali ni mengi. Kwamba watu hao wamechoka kuomba wao wenyewe kwa imani zao, au imani yao ni ndogo?
 
Kuliko kuombewa Bora ujiombee mwnyew .
Afadhali hata ingekuwa kuombewa...yaani issue inayonitatiza ni ile ya kwenda kwa hao prophets kutabiriwa mambo yako. Kina watu kila jambo lazima waulize kwa 'watumishi' ndipo wafanye maamuzi
 
Nimeuliza hili swali kwasababu kuna mambo kadhaa yananitatiza. Anayeweza kutoa ufafanuzi anisaidie kujibu
 
Back
Top Bottom