Jamani, siku za leo kuna watu wengi sana wanaamini manabii pengine kuliko hata wanavyojiamini wao wenyewe.
Baadhi hawafanyi maamuzi hadi waombe ushauri kwa hao wanaowaamini.
Kwa upande wangu maswali ni mengi. Kwamba watu hao wamechoka kuomba wao wenyewe kwa imani zao, au imani yao ni ndogo?