Ni kwamba yutong wameacha kutengeneza bus za 3 by 2 seats

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Siku hizi bus zote ni 2 by 2 ukicheki gharama ya basi na abiria inayobeba inatia mashaka kuingia kwenye hii biashara.

Let say bus inatoka Dar to Arusha 2#2 seat abiria 60 nauli 35,000 itachukua muda mrefu gar kurudisha pesa uliyonunulia na kupata faida.
 
siku izi bus zote ni 2 by 2 ukichek ghrama ya bas na abiria inayobeba inatia mashaka kuingia kwenye hii biashara.

let say bus inatoka dar to arusha 2#2 seat abiria 60 nauli 35,000 itachukua mda mrefu gar kurudisha pesa uliyonunulia na kupata faida
Unajua bei ya hizo basi au umeandika tu ili mradi?
 
Siku hizi bus zote ni 2 by 2 ukicheki gharama ya basi na abiria inayobeba inatia mashaka kuingia kwenye hii biashara.

Let say bus inatoka Dar to Arusha 2#2 seat abiria 60 nauli 35,000 itachukua muda mrefu gar kurudisha pesa uliyonunulia na kupata faida.
Wewe sio Risk taker
 
Sisi wanazi waa barabarani hasa kwenye mabus (nyehunge specifically) hua tunaita hizo gari za 3×2 kua ni za kubeba makirikiri.
Makirikiri ni wale abiria wa pori mfano wale wasukuma wanaoenda kwenye mashamba ya mpunga ifakara na wale wanaoenda ngara.
Most times nyehunge ya ngara na singida ndo inakua 3 by 2 pamoja na ile inayobeba from ifakara.
Ukipanda na makirikiri jiandae kisaikolojia maana hua wana mapichapicha kibao lakn uzuri n kwamba ukiwa unawapakia unawaswaga huko nyuma mwisho wa gari.
 
Achane ujuaji mbona private za dom/dar noah zinajaaa na watu wanawekwa mtu kati kama kawa......

Siti za nyuma kwenye basi mbona watu wanakaaa poa tu hata mtu nne au watano kabisa.......

Mashauzi classic huku baba ako hata paso ana
 
Siku hizi bus zote ni 2 by 2 ukicheki gharama ya basi na abiria inayobeba inatia mashaka kuingia kwenye hii biashara.

Let say bus inatoka Dar to Arusha 2#2 seat abiria 60 nauli 35,000 itachukua muda mrefu gar kurudisha pesa uliyonunulia na kupata faida.
Kwa hesabu zako hizii , abood na shabiby wangekuwa washaacha hiyo biashara
 
Siku hizi bus zote ni 2 by 2 ukicheki gharama ya basi na abiria inayobeba inatia mashaka kuingia kwenye hii biashara.

Let say bus inatoka Dar to Arusha 2#2 seat abiria 60 nauli 35,000 itachukua muda mrefu gar kurudisha pesa uliyonunulia na kupata faida.
Dar arusha ni 45 50 had 60k though
 
Back
Top Bottom