ndugu mteja
Senior Member
- Sep 6, 2022
- 121
- 227
Mkuu, mbona hesabu imeishia robo ndugu?Siku hizi bus zote ni 2 by 2 ukicheki gharama ya basi na abiria inayobeba inatia mashaka kuingia kwenye hii biashara.
Let say bus inatoka Dar to Arusha 2#2 seat abiria 60 nauli 35,000 itachukua muda mrefu gar kurudisha pesa uliyonunulia na kupata faida.