ndugu mteja
Senior Member
- Sep 6, 2022
- 121
- 227
Mkuu, mbona hesabu imeishia robo ndugu?Siku hizi bus zote ni 2 by 2 ukicheki gharama ya basi na abiria inayobeba inatia mashaka kuingia kwenye hii biashara.
Let say bus inatoka Dar to Arusha 2#2 seat abiria 60 nauli 35,000 itachukua muda mrefu gar kurudisha pesa uliyonunulia na kupata faida.
Mkuu mbona unashangaza, Hiyo seat kuwa 2 by 2 mbona iko hivyo toka mwanzo, sahv zipo Gari ya 2 by 1 (High luxury), We ushangaa 2 by 2, Umekuja lini mjini
Tanzania hii yawwzekana nikawa topWewe sio Risk taker
yawezekana niko mjini kabla hujazaliwaMkuu mbona unashangaza, Hiyo seat kuwa 2 by 2 mbona iko hivyo toka mwanzo, sahv zipo Gari ya 2 by 1 (High luxury), We ushangaa 2 by 2, Umekuja lini mjini
nMkuu mbona unashangaza, Hiyo seat kuwa 2 by 2 mbona iko hivyo toka mwanzo, sahv zipo Gari ya 2 by 1 (High luxury), We ushangaa 2 by 2, Umekuja lini mjini
ordinary bus 30-35Dar arusha ni 45 50 had 60k though
rejea thread. yawezekana niko mjini kabla hujazaliwaMkuu mbona unashangaza, Hiyo seat kuwa 2 by 2 mbona iko hivyo toka mwanzo, sahv zipo Gari ya 2 by 1 (High luxury), We ushangaa 2 by 2, Umekuja lini mjini
Sasa meku ordinary bus ipi ina 2X2?u
Tanzania hii yawwzekana nikawa top
yawezekana niko mjini kabla hujazaliwa
n
ordinary bus 30-35
Dar- dom mtu anapanda Noah tena ya kulipia, basi zilivo nyingi tena masaa yote 😅Achane ujuaji mbona private za dom/dar noah zinajaaa na watu wanawekwa mtu kati kama kawa......
Siti za nyuma kwenye basi mbona watu wanakaaa poa tu hata mtu nne au watano kabisa.......
Mashauzi classic huku baba ako hata paso ana
Amekuja mjini juzi asubuhiMkuu mbona unashangaza, Hiyo seat kuwa 2 by 2 mbona iko hivyo toka mwanzo, sahv zipo Gari ya 2 by 1 (High luxury), We ushangaa 2 by 2, Umekuja lini mjini