Ni kwanini Burundi inajipendekeza mno kwa Tanzania, lakini Rwanda inajiimarisha yenyewe kwa Kujipambania hadi Kusifika Kimataifa?

Nchi kumi kubwa kieneo Africa ni kama ifuatavyo
1. Algeria 2.Democratic Republic Of Congo ( DRC) 3. Sudan 4. Libya 5. Chad 6. Niger 7. Angola 8. Mali 9. South Afica 10. Ethiopia
Umeisahau Nigeria na Tanzania
 
Yeah lakini umenielewa kusema msitu wa congo unacoverage ya nchi yote ya tz kieneo....rekebisha hapo
Si unaona ulivo ndina,Congo forest Ni km square 1,406,752.Huo Msitu pekee Ni mkubwa kuliko Tz yote nzima
 
Burundi inategemea mbolea ya kuagiza,kuna jamaa yangu lori zake zinasomba mbolea kutoka bandarini dar kwenda burundi..mwaka huu mzima yuko busy na hiyo kazi
 
Burundi inategemea mbolea ya kuagiza,kuna jamaa yangu lori zake zinasomba mbolea kutoka bandarini dar kwenda burundi..mwaka huu mzima yuko busy na hiyo kazi

Rwanda kuna viwanda vya cement na bado wanaagiza kutoka Tanzania, Na Tanzania kuna viwanda vya sukari lakini wanaagiza sukari mwaka mzima kutoka nje hiyo ni principle rahisi kwenye biashara
 
Sawa kasusura
 
Kama ningekuwa Rais wa Burundi ningefanya hivyohivyo. Banana na Tanzania na hakuna kitakachoharibika.

Burundi imezunguukwa na Tanzania kila kona. Tanzania na Burundi Zina mipaka zaidi ya 10. Yaani Burundi ni kama mkoa wa Tanzania.

Lugha (Kiswahili), vyakula na muingiliano wa kijamii ndio usiseme. Sasa kwa nini Burundi isijikombe kwa Tanzania. As landlocked country, ndio usiseme. Ni uamuzi wa busara sana.

Yaani ni kama ile Kingdom ya Swaziland, ambayo imezunguukwa na South Africa, ianze kujiringisha au kuleta nyodo kwa S. Africa. Itakuwa ni uhayawani. Way to go Mr. Rais wa Burundi.
 
Au Lesotho ambayo sasa inajiita Eswatini. Yenyewe imezungukwa na South Africa pande zote kama unavyoona Tanzania halafu Dodoma iwe ni nchi inayojitemea.
 
Au Lesotho ambayo sasa inajiita Eswatini. Yenyewe imezungukwa na South Africa pande zote kama unavyoona Tanzania halafu Dodoma iwe ni nchi inayojitemea.
Kweli kabisa mkuu. Au kama ilivyo my dream country, Canada [emoji1063], ambayo haina jirani zaidi mbabe U.S.A. Canada amejikunyata pembeni ya Marekani ili kufaidi matunda ya kuishi na jirani tajiri na mwenye nguvu

If you can't beat them, join them.
 
Umechanganya madesa, Canada ni G7 kaa ukilielewa hili.

Mfano wako ni tofauti na uhalisia tuliongelea sisi.
 
Au Lesotho ambayo sasa inajiita Eswatini. Yenyewe imezungukwa na South Africa pande zote kama unavyoona Tanzania halafu Dodoma iwe ni nchi inayojitemea.

Swaziland ndio hiyohiyo Eswatin kwa yule mfalme anaeoa kila mwaka anachagua bikra na lesotho bado wanatumia jina hilohilo
 
Umechanganya madesa, Canada ni G7 kaa ukilielewa hili.

Mfano wako ni tofauti na uhalisia tuliongelea sisi.
Hakuna tofauti hata kidogo. Kilichobadilika na geographical location tu. Vinginevyo Canada mbele ya U. S ni kama Burundi mbele ya Tanzania. Wote ni kama Sungura kulala karibu na tembo, wanafeel mingurumo na mitetemeko ya jirani mwenye nguvu.

Kuwa G8 na popn ya watu million.38 na hauna Nuclear weapons haikusaidii chochote . Canada [emoji1063] is just a middle power country, lakini ina jirani mtemi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…