Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Ni kweli kabisa, hata yale maridhiano inasemekana ni mkakati wa ccm na mbowe kuwarubuni watanganyikaUchonganishi huo
Ni upendo wa dhatiWasalaam
Nimekua nashangaa sana kila kukicha viongozi wengi wa ccm wanataka mbowe awe mwenyekiti wa chadema wa kudumu. Najiuliza tu huu ni upendo wa dhati au ni mahaba?
sii kweliJe huenda ni kweli zile tetesi kwamba mbowe ni pandikizi la ccm kuidhoofisha chadema ili isishike dola?
ni kweliMaana kuna kampeni ccm wanapiga chinichini kwamba tundu lissu asikabidhiwe chama eti atakivuruga na kukisambaratisha,
ni kweli CCM hatutaki chadema isambaratike ili tupate chama cha kupokezanainashangaza huu upendo wa ccm kwa chadema kwamba isisambaratike.
No!Hapa nilitegemea ccm wamfanyie kampeni TL ili awe mwenyekiti na akaisambarishe chadema ili wanufaike.
Je, wako tayari hao CDM kupokea ushauri kutoka kwa Sisiemu wapinzani wao?No!
Tena Mkuu Princess Subi, @Subira the princess , hata mimi ni CCM na nampenda Mbowe Kuelekea 2025 - Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila...
p
Wasalaam
Nimekua nashangaa sana kila kukicha viongozi wengi wa ccm wanataka mbowe awe mwenyekiti wa chadema wa kudumu. Najiuliza tu huu ni upendo wa dhati au ni mahaba? Je huenda ni kweli zile tetesi kwamba mbowe ni pandikizi la ccm kuidhoofisha chadema ili isishike dola?
Maana kuna kampeni ccm wanapiga chinichini kwamba tundu lissu asikabidhiwe chama eti atakivuruga na kukisambaratisha, inashangaza huu upendo wa ccm kwa chadema kwamba isisambaratike. Hapa nilitegemea ccm wamfanyie kampeni TL ili awe mwenyekiti na akaisambarishe chadema ili wanufaike.
Haaminiki hata kidogoTofauti na unavyosema CCM ndio mnaofanya kila juhudi Mbowe akataliwe na wanachama wenzake. Mara, amepwaya ile nafasi apewe Heche au Lissu. Mara amekaa muda mrefu mno na sasa panahitajika damu changa. Hii ya kwako ni uendelezo ule ule wa kuleta fitna kuwa Mbowe ni kipenzi chenu hivyo haaminiki.
Kwa kweli mnachosha. Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chadema mpaka mojawapo ya vifuatavyo vitokee:
1. Mwenyezi Mungu amfanye asiweze kuendelea na cheo hicho.
2. Mwenyewe aamue kuwa hataki kuendelea na cheo hicho.
3. Wanachama wa Chadema waamue kumpumzisha.
Fitna zenu haziwezi kufanikiwa. Badala ya kuendelea kuifuatilia CDM, kazaneni kutatua matatizo ya wananchi ili msilazimike kucheza foul kwenye uchaguzi,
Amandla...