Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa umesahau kuwa CLOUDS ni nyumbani kwa mama Kimbo wa Buza.Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE leo ni Kusoma tu Comments zenu kutokana na huu Uzi wangu.
Kwangu Mimi Marais wangu bora na waliokuwa serious kabisa kwa Kazi ( Uongozi ) walikuwa ni Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Hayati Mkapa na Hayati Magufuli.Ben mkapa alikuwa mwamba alikuwa hapendi ujinga ujinga ukijip3ndekeza
Anakupa mikausho mikali,mambo ya upambe sifa sifa tupa kule
Ova
CHAWA...Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE leo ni Kusoma tu Comments zenu kutokana na huu Uzi wangu.
Wanakula wanapopeleka mboga mkuuKazi yangu Kubwa GENTAMYCINE leo ni Kusoma tu Comments zenu kutokana na huu Uzi wangu.
This is a typical Poverty Mentality.Sasa bila kujipendekeza kwa wenye mamlaka na wao ndo wamekupa kibali cha kufanya kazi. Na wanakupa na kazi pia uache kuwasifia uwe kinyume chao waku fungie kisa sifa? Ukipatwa na njala wanaokusifia hamna hata mmoja atalete debe la sembe kwa boma... jikombe ukomboke
Unataka kujua wewe kama nani?Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE leo ni Kusoma tu Comments zenu kutokana na huu Uzi wangu.
Kwani ben kaingia madarakani mwaka gani na clouds ilianzishwa mwaka gani ?Ben mkapa alikuwa mwamba alikuwa hapendi ujinga ujinga ukijip3ndekeza
Anakupa mikausho mikali,mambo ya upambe sifa sifa tupa kule
Ova
Ingawa JPM aliwaelewa CloudsJamaa wajanja huwa wanaangalia kwanza kaliba ya kiongozi kabla ya kujipendekeza, kipindi kile cha JPM sikuwahi kuona hayo maigizo yao.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Clouds ilianzishwa kipindi cha Mkapa pale Kitega uchumi,Ilikuwa bado changa sana na haikuwa na vipindi vyovyote vya kisiasa wala habari,wao ilikuwa burudani tuCMG Ni muda mrefu wakijipendekeza kwa watawala kinafiki Mara kwa kikwete ,saamia ,na jiwe wameshindwa tu kijipendekeza kwa mkpa
Hilo la kujipendekeza nimesha liona muda sna hvyo nikaamua kuwapuuza Zaid Sana kipind changu pendwa Cha pb ya masoud ,siza ,fetty ndio natazikiliza
Wewe ni mchumba tu, tunataka tukutumie barua ya posa tukuweke ndani rasmiKazi yangu Kubwa GENTAMYCINE leo ni Kusoma tu Comments zenu kutokana na huu Uzi wangu.
Mkuu si kweli kwamba wanajipendekeza. Hizo ni mbinu za biashara.
Msaidizi binafsi wa mkurugenzi wa CMG. Kusaga anayeitwa spencer minja ni dogo hatari sana kichwani. Mimi huyu ni mdogo wangu na ameshakuwa raisi pale UDSM. kinachofanywa hapo ni biashara pia ku gain nguvu kwenye
serikali, na hizo ni proposal zake pamoja na Andrew.
Hapo ni katika kuendeleza uchumi wa buluu, kutengeneza koneksheni za kujikwamua katika uchumi.
Leo shuguli nzima itaanzia the waves na baadae tunaelekea mbudya. Kama kijana hii si ya kukosa kabisa kwa gharama za kitanzania.