Ni kwanini gundi (glue) haikamati pakiti yake?

Ni kwanini gundi (glue) haikamati pakiti yake?

coz haija react with oxygen

kuganda kwa gundi kunaitaji reaction kati ya hiyo gundi na hydroxyl ions ambazo zinapatikana katika maji na wala siyo oxygen!..halafu kwanini mnakuwa na majibu mepesi kiasi hicho wakati huohuo mnajiita great thinkers?..hivi mnajua maana ya great thinker kweli?au nyie ni small thinkers?
 
Back
Top Bottom