wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Wachezaji wengine wanaagwa, kwaninini Chama hadi sasa hajaagwa?
Baada ya kuitumikia timu yetu kwa misimu mitatu, Henock Inonga Baka hatokuwa sehemu ya kikosi cha msimu ujao.
Baada ya miaka mitano aliyodumu ndani ya klabu yetu mlinzi wa kati Kennedy Juma hatokuwa sehemu ya kikosi chetu kuelekea msimu mpya baada ya mkataba wake kumalizika.
Tumefikia maamuzi ya kutomuongezea Mkataba Kiungo wetu, Luis Miquissone.
Baada ya kuwa kwenye kikosi chetu kwa msimu mmoja, Shaban Chilunda hatakuwa sehemu ya timu yetu ya msimu ujao.