wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Mchezaji akimaliza mkataba automatically timu imemuaga ni hadi wamtake tena kwa kumuongezea mkatabaNadhani ni sahihi kumchunia. Kwani yeye ameaga? Wakati mwingine ustaarabu ukizidi unakuwa ufala
Kennedy hapo juu pia mkataba wake uliisha ila ameagwaMchezaji akimaliza mkataba automatically timu imemuaga ni hadi wamtake tena kwa kumuongezea mkataba
Kabisa. Ni kama Morrison Ben hakupewa iyo senkyuu, Tena mara ya kwanza badala ya senkyuu akapelekwa kushtakiwa caf na utopolo wakapigwa za puaMchezaji akimaliza mkataba automatically timu imemuaga ni hadi wamtake tena kwa kumuongezea mkataba
Kwa kuwa bado hajaamua kuondoka. Kumbuka kuwa ni Yanga ndio imetangaza kumsajili, na wala sio yeye aliyetangaza kuondoka Simba na kusajiliwa kwingine.Wachezaji wengine wanaagwa, kwaninini Chama hadi sasa hajaagwa?
Wewe inakuhusu nini?Wachezaji wengine wanaagwa, kwaninini Chama hadi sasa hajaagwa?
Baada ya kuitumikia timu yetu kwa misimu mitatu, Henock Inonga Baka hatokuwa sehemu ya kikosi cha msimu ujao.
View attachment 3031021
Baada ya miaka mitano aliyodumu ndani ya klabu yetu mlinzi wa kati Kennedy Juma hatokuwa sehemu ya kikosi chetu kuelekea msimu mpya baada ya mkataba wake kumalizika.
View attachment 3031020
Tumefikia maamuzi ya kutomuongezea Mkataba Kiungo wetu, Luis Miquissone.
View attachment 3031017
Baada ya kuwa kwenye kikosi chetu kwa msimu mmoja, Shaban Chilunda hatakuwa sehemu ya timu yetu ya msimu ujao.
View attachment 3031016
Wachezaji wengine wanaagwa, kwaninini Chama hadi sasa hajaagwa?
Wachezaji wengine wanaagwa, kwaninini Chama hadi sasa hajaagwa?