Ni kwanini hatupendi kuchukulia vitu serious??

Tatizo watu wanaomba ushauri matatizo ambayo siyo yao(copy from social networks)...
Sasa mada umeingia whatsapp umeikuta kwenye group, unarudi MMU unaikuta tena, ukienda Facebook unaikuta,
sasa hapo unaweza kuchangia kwa usiriasi kweli?
No hapana kwasababu post haina uhalisia
Cc.
jje's
 
HUO NDIO UGONJWA WA WATU WEUSI.

Tunachochukulia serious ni majungu, ngoma, ngono na vigodoro baaaas.
 
Ngoja nikachungulie huko[emoji124]
 
Sababu mada zenyewe hazikogo serious.

Mfano mleta mada unakuta siku kadhaa zilizopita kaleta mada akiwa mwanamke alafu iyo aliyoleta inamtambulisha kama mwanaume.


97% ya mada za chitchat ni za uongo mtu mwenye akili hatakiwi kuzitilia maanani.
 
JF unajuwaje serious. Mitandao ya Kijamii unakuwaje serious.

Hizi ni sehemu za kuja kurelax na kupunguzia stress baada ya kuchoka na matatizo ya siku nzima
 
Hamna seriousness ktk uzi huu
 
Ukitaka usifike haraka huko kileleni vuta bangi taaratibu wakati unapanda kuelekea huko
 
Hata sasa tunachangia boss.
Sema mambo mengi
 
Wengine wanapost ili kupata komenti nyingi ndo maana wanajibiwa Ovyo
 
Aise mzizi mkavu anatoa vitu vya ukweli yan amenisaidia.ckuizi kapotea
 

Nadhani ni watu kutostaarabika au kutochukulia jambo kwa uzito

[HASHTAG]#MissYouSis[/HASHTAG]
Avatar zenu zinafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…