Ni kwanini hatupendi kuchukulia vitu serious??

Sasa mada kama hii unataka watu waseme nini? Labda ingefafanua mwanamume anapaswa aende mara Ngapi ndio kipimo.
 
Wengine tukiwa serious tunaumwa ushauri kutoka kwa daktari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Baadh ya walio hvyo nahic wana uelewa mdogo na huwa inamdiscourage sana mtoa mada na kuogopa hata kuuliza kwa chochote wakati mwingine
Kama huna msaada na thread yoyote ni bora kuisoma na kumute
Naamin wameelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…