Ni kwanini jambo hili la kufanya ngono tuliachiwa wenyewe?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni kwanini mambo mengi wakati tunakuwa ( tukikuwa ) tulikuwa tukielekezwa na Wakubwa zetu, ila la Kufanya Ngono tuliachiwa wenyewe?

Je, ni Utashi gani au Ujasiri gani wa Kiasili umeumbwa ndani ya Ubongo wetu Binadamu kiasi kwamba Watu wote tu hatukufundishwa Kungonoka?
 
Reactions: Lee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mimi mama yangu hakunificha kitu aliniambia kila kitu ila kwa lengo la kujikinga na ukimwi
 
mimi mama yangu hakunificha kitu aliniambia kila kitu ila kwa lengo la kujikinga na ukimwi
Kwahiyo alikuelekeza jinsi ya Kuingiza au Kuingiziwa Wewe Mkuu? Nahitaji mno Mrejesho wako tukuka kabisa katika hili Swali langu tafadhali Mkuu.
 
kumbuka mengine tunajifunza kuanzia darasa la sita au umrsahau
 
Mimi nakumbuka wakati mdogo ,kuna wenzangu walinizidi umri kidogo,kwahiyo michezo hiyo walikuwa wanaijua( sijui walijifunza wapi).kuna siku tulikuwa wote chumbani tunacheza, wenzangu wakavua nguo wakaanza mambo,wakaniambia na mimi nivue,nikavua,ndio hapo nilipojua kumbe " kidudu" kina kazi " nyengine" zaidi ya kukojoa.
 
Kwahiyo hivyo Vidudu vyenu mlikuwa mnaingiziana nyie kwa nyie ( Wavulana ) mkiwa mnacheza au kulikuwa pia na Jinsia pinzani / pingani Mkuu?
 
Kwahiyo hivyo Vidudu vyenu mlikuwa mnaingiziana nyie kwa nyie ( Wavulana ) mkiwa mnacheza au kulikuwa pia na Jinsia pinzani / pingani Mkuu?
Vilikuwepo vidudu vya jinsia pinzani pia,hapo ndio nilikojua ukiwa karibu na jinsia pinzani ufanyaje,ikawa kila siku naomba,mpaka tukafumwa uvungu wa kitanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…