GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni kwanini mambo mengi wakati tunakuwa ( tukikuwa ) tulikuwa tukielekezwa na Wakubwa zetu, ila la Kufanya Ngono tuliachiwa wenyewe?
Je, ni Utashi gani au Ujasiri gani wa Kiasili umeumbwa ndani ya Ubongo wetu Binadamu kiasi kwamba Watu wote tu hatukufundishwa Kungonoka?
Je, ni Utashi gani au Ujasiri gani wa Kiasili umeumbwa ndani ya Ubongo wetu Binadamu kiasi kwamba Watu wote tu hatukufundishwa Kungonoka?