Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ni kwanini Jinbril halikumwamini Mtume aliposema hajui Kusoma na kuendelea Kumkaba Nusura ya Kumwua? Natafakari sana jambo hili sipati majibu.
Hili Jin Bril kwa nini halikuwa linamwamini mtume aliposema hajui kusoma wala kuandika? Why? Angekuwa ni malaika Gabriel angejua tu kuwa huyu jamaa shule hamna. Kusingekuwa na haja ya kukabana nusra kumuua.
Kitabu: Bad’ul-Wahy (Kitabu cha Mwanzo wa Wahyi)
Mlango: “Jinsi Wahyi ulivyoanza kwa Mtume wa Allah ﷺ”
Hadith Na.: 3 (kwa numeration ya Bukhari)
Maneno yake (kwa Kiarabu):
Tafsiri ya Kiswahili (sehemu husika):
“…Hapo Haki ( Jinbril) akamjia akiwa katika pango la Hira. Akamwambia: Soma.
Mtume ﷺ akasema: ‘Mimi sijui kusoma

عَنْ عَائِشَةَ أُمِّ الْمُؤْمِنِينَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا أَنَّهَا قَالَتْ: أَوَّلُ مَا بُدِئَ بِهِ رَسُولُ اللَّهِ ﷺ مِنَ الْوَحْيِ الرُّؤْيَا الصَّالِحَةُ فِي النَّوْمِ... فَجَاءَهُ الْحَقُّ وَهُوَ فِي غَارِ حِرَاءٍ، فَقَالَ: اقْرَأْ. قَالَ: مَا أَنَا بِقَارِئٍ...
Tafsiri ya Kiswahili (sehemu husika):
“…Hapo Haki ( Jinbril) akamjia akiwa katika pango la Hira. Akamwambia: Soma.
Mtume ﷺ akasema: ‘Mimi sijui kusoma