Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Kama taifa tulikosea kukuza majina ya watu kuliko taasisi!!Hivi watanzania wanaelewa mifumo ya uongozi? Kama hawaelewi huko shuleni wanajifunza Nini? Kila Jambo hata Mambo madogo ya kifamilia utasikia MTU anamlilia Rais...
Kwa sababu za fikra za uchawa, chawa hawawezi kuishi bila host.Hivi watanzania wanaelewa mifumo ya uongozi? Kama hawaelewi huko shuleni wanajifunza Nini? Kila Jambo hata Mambo madogo ya kifamilia utasikia MTU anamlilia Rais...
Mariam alinitingishia wowowo...naomba rais aingilie kati kunusuru ndoa yangu...Lily akijuaaaaHivi watanzania wanaelewa mifumo ya uongozi? Kama hawaelewi huko shuleni wanajifunza Nini? Kila Jambo hata Mambo madogo ya kifamilia utasikia MTU anamlilia Rais...
Yeye ndio kachagua waku msaidia.Katika nchi ambayo mihimili mingine imeingiliwa na ule ulio chini ya Rais, anaachaje lulaumiwa.?
Wewe ulishaona zuri lolote nchi hii likapita bila Rais kupongezwa? Kwanini ushangae wanapomlaumu kwa mabaya.?
Mwambie ukweli huyu pimbi hajielewi kabisa! Tanzania ndio maraisi wamejijengea, badala ya kujenga mifumo, ni misifa TU! Hivi Marekani unaweza kusikia mtu anataka Biden amsaidie kutatua shida yoyote? Shithole countries! Rubbish!Rais mwenyewe ndio anapenda hivyo, kwani hicho ndio kipimo halisi cha kujua watu wamelala kwa kiasi gani.
Mbona kikijengwa choo cha shule anasifiwa yeye?Hivi watanzania wanaelewa mifumo ya uongozi? Kama hawaelewi huko shuleni wanajifunza Nini? Kila Jambo hata Mambo madogo ya kifamilia utasikia MTU anamlilia Rai....
Urais ni taasisi....Hivi watanzania wanaelewa mifumo ya uongozi? Kama hawaelewi huko shuleni wanajifunza Nini? Kila Jambo hata Mambo madogo ya kifamilia utasikia MTU anamlilia Rai...
[emoji1787][emoji1787]Mariam alinitingishia wowowo...naomba rais aingilie kati kunusuru ndoa yangu...Lily akijuaaaa
Kwanini unatumia Tecno...rais aingilie kati
Sababu anaupiga mwingi.Hivi watanzania wanaelewa mifumo ya uongozi? Kama hawaelewi huko shuleni wanajifunza Nini? Kila Jambo hata Mambo madogo ya kifamilia utasikia MTU anamlilia Rai...