Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DahKama kila pesa tunaambiwa katoa Rais wakati ni Kodi zetu,kwanini tusimpelekee matatizo yetu!
#Mida ya kubweka
Mitano tena kwa mama
We kweli kidagaa asa ulitka tukupe wewe na kampeni bado zinafanyika aendelee huko kizimkaziHivi Watanzania wanaelewa mifumo ya uongozi? Kama hawaelewi huko shuleni wanajifunza nini? Kila Jambo hata Mambo madogo ya kifamilia utasikia mtu anamlilia Rais.
Mtu akitembea na mke wa mtu akikamatwa utasikia Mama yetu tusaidie haki itendeke😆
Mtu akinyimwa kitu utasikia anamlilia Rais.
Serikali au Rais haiwezi kushughulika na kila kitu hata Mambo ya kifamilia, mtatuzi wa mwanzo wa changamoto niwewe mwenyewe, Watanzania pelekeni hoja nzito kwa Raisi sio kila Jambo mnasema mama mama