Ni kwanini kiswahili cha Mtwara kiko tofauti na kiswahili cha kawaida?

Tatizo lipo kwako mtoa Uzi, Hukutembea mikoa mbalimbali, Mwanza nao wana kiswahili chao, Arusha,Dar, Sumbawanga,Mbeya,Musssoma,Tanga, nk.,, Kiujumla tembea Uyaone Na ujifunze mengi, Singida pia Hali kadhalika. Hii imetokana na matabaka ya Makabila yalioko Nchini, Pia kumbuka tatizo Kubwa zaidi lililo Pelekea watu kuwa na viswahili visivyo fanana, kumechangiwa sana na Kutopatiwa Elim mapema, watz walidumu ktk Lugha zao za Asili, Hili tatizo pia serekali ya ccm inapaswa kulaumia sana Kw kuwanyima watz Elim tangu mapema, Hivyo taifa limekuwa na watu wasiejuwa kiswahili ,,
 
MKUU, USIONESHE UJINGA WAKO HV

LUGHA ZA ASILI ZIMEINGILIANA NA KISWAHILI NA HVYO KUATHIRI MATAMSHI, NA HII IPO KATKA MAKABILA YOTE. TEMBEA UONE KAMA HSTORIA YA KISWAHLI HUJABAHATKA KUISOMA
 
MKUU, USIONESHE UJINGA WAKO HV

LUGHA ZA ASILI ZIMEINGILIANA NA KISWAHILI NA HVYO KUATHIRI MATAMSHI, NA HII IPO KATKA MAKABILA YOTE. TEMBEA UONE KAMA HSTORIA YA KISWAHLI HUJABAHATKA KUISOMA
Ohooo hapo nimelewa sasa
 
Sisi huku Kigoma tunakiswahili chetu na Burundi, Congo na Rwanda
 
SIO WATANZANIA WALE NI WATU WA MSUMBIJI TUNAWAVUMILIA TU!
Comment ya ajabu sana hii.

Wewe unajua asili yako haswa tangu mababu?

Ujue wapo waliopo Lesotho ili hali babu alitokea Tanganyika, and vice versa.

Waafrica tumetangatanga sana tu huku na kule, so tuliojikuta leo Watanganyika/Watanzania ni matokeo ya Wakoloni kugawana maeneo kule Berling kwenye mkutano wao.
 
Umeanza vizuri.....umemalizia kwa Kuweka siasa kwani mtu kuwa na rafudhi yakwao ni tatizo kweli? hata uingereza kila jimbo wakiongea English utajua tu kama ni mscotish Irish au Wales.....hao nao wa na CCM ? BBC na CNN wote wanatangaza kiingereza lkn rafudhi ni tofouti kabisa..... pia ni mchango wa CCM. nyie mfikie mahara muache siasa za kukalilishwa mnatubowa sana cc ambo hatushambikie siasa za vyama
 
Yani kutembelea mtwara tu umeanzisha thread, siku ukienda DUBAI utatunga kitabu. Kweli ushamba ni mzigo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siyo kwa kumshusha hvyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siyo kwa kumshusha hvyo
Uyu mshamba tu lengo lake tujue amefika mtwara, kila mkoa hapa tz una lugha za makabila ivo ata kiswahili kinazungumzwa kwa rafudhi ya lugha za makabila.
 
Kwahiyo lugha za asili hazina umuhimu?
 
usishangae sana mkuu.. Hii ndo lafudhi yetu, karibu sana Gas City.. Umefikia site zipi mkuu
 
usishangae sana mkuu.. Hii ndo lafudhi yetu, karibu sana Gas City.. Umefikia site zipi mkuu
 
Ukikimbia nchale,
Ukichimama nchale,
.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…