Ni kwanini kiswahili cha Mtwara kiko tofauti na kiswahili cha kawaida?

Hiyo ni lafudhi ya kabila lao hapo hakuna kigeni kila kona kuna tatizo LA matamshi
 
Hujaona maajabu ya lafudhi ya wasukuma bado.
 
Lugha mama huathiri matamshi ya lugha nyingine
Kiswahili cha wanyamwezi, wasukuma na makibila mfanano na hayo ni tofauti
Cha kusini tofauti
Kaskazini nako ni tofauti
Na makabila mengine mengi lafudhi yao ya kiswahili ni tofauti..

Hata mzungu akija akijua kiswahili nae kitakuwa tofauti pia..

Lugha mama inaathiri.
 
sometyme ni aibu kubwa kuona watu hujaribu kutumia hoja mfu kama hizo kudevaluate na kugrorify lugha fulani.. matumizi ya chi kwenye ki na n kwenye m ni jambo la kwaida sana.. cha kukuongezeA Tu hiyo ndo unique ya kiswahili cha mtwara na tunatumia kama identity katika jamii zingine.. mbona huhoji kiswahili cha lubumbashi. kenya?? au bado uko karne ya 14 kuamin watu fulani na lugha fulani wako sahihi.. ni ushamba.. haya nenda kachukue buku saba yako tumeona
 
inategemeana MKUU km MTU hajaenda shule kuna uwezekano huo lakn kwa hlo LPO kla mkoa
 
Kiswahili cha kanda ya ziwa:
Mtu = mutu,
Mti=Muti,
Amekosa=amekoswa,
Amepita= amepitamo,
Amekula = amekura,
 
Chacha kwani chida ni nini ...
We chi mladi umeelewa...
 
Lafudhi sio rafudhi
 
nakuunga mkono MKUU katika hili coz nakumbuka nko CHUO fulan hapahapa mtwara watu walikua hawanijui km n mmakonde mpaka stafu walikua hawaamn km ni mmakonde na wala ckakulia mkoa tofaut na mtwara walikuja kuamin nlipowadhihirishiavkwa kuongea kimakonde
 
Bora hapo ulipo ukienda maeneo ya masasi sasa yaani utacheka balaa!! Mie siku za kwanza nilikuwa nashangaa kweli ila nilivyowazoea nikawaona wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…